Hakuna Mwanadamu awezaye Kubadilisha au kupinga Maamuzi ya CCM. Rais Samia ndiye Mgombea wa CCM na itabakia kuwa hivyo

Huu siyo muda wa kulia bali ni muda wa kuongea ukweli mchungu
Una ukweli gani unaoujua wewe hapo ccm? Wewe na polepole nani anajua ukweli?
Uliyoandika ni kama vile ccm siyo chama ca wanadamu waliohai!
Na hii inadhihirisha kwamba wewe ni chawa mjinga!
Uende kwanza ukamalizie kusoma upunguze ujinga ujinga huu
 
Mbona una komaza shingo? CCM imeamua au JK na wahuni wenzake wameamua?
CCM kama chama kuamua ni kufuata utaratibu pekee, jee utaratibu ulifatwa? Maana hilo jambo ni la kwenu wenyewe huko ndani.
Usitake kulifanya kama la nchi, mtateua mtu wenu eitha kama CCM chama au kama JK atakavyo yeye halafu mtamleta ashindanishwe kwenye kura kwa uchaguzi uliofanyiwa reforms.
Acha kuongea uongo
 
Ndugu zangu Watanzania,

Liwake jua au inyeshe mvua, Dunia isimame au Dunia izunguke katika mhimili wake. Kamwe na katu maamuzi ya CCM ya kumpitisha na kumuidhinisha Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama yetu Mpendwa kuwa Mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM hayatabadilika wala kubadilishwa hata nukuta au herufi.

CCM haijawahi kuyumba wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kutishwa wala kutishika na makelele ya watu wachache wenye uchu ,uroho na tamaa ya madaraka. CCM ikifanya maamuzi inakuwa imefanya na ndio unakuwa msimamo wa chama kizima na wanachama wote kwa ujumla wake.

Kikundi cha watu wachache ambao kwa Upofu wao wa akili na macho wanaoweza kujaribu kutaka kushawishi au kuchochea kutaka kufanya Mapinduzi ya maamuzi ya CCM hawawezi kamwe na katu kupindua au kubadilisha maamuzi ya CCM yaliyofikiwa pale Mkoani Dodoma.

CCM haikukurupuka wala kukurupushwa kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea wake wa Urais. Ni maamuzi yaliyofanywa kwa umakini kabisa. Ni maamuzi ambayo yameungwa mkono na wana CCM wote Nchini Kwote katika kukata kiu ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania wenye kutaka kuona Rais Samia anaendelea kuongoza Taifa Letu.,hasa kutokana na uchapakazi wake, uzalendo wake na maono makubwa aliyonayo.

Kwa hiyo wanaotumika na kutumiwa kutaka kuleta vurugu ndani ya CCM kwa lengo la kutaka kuhujumu chama pamoja na kuleta migawanyiko na kupandikiza chuki kamwe na katu hawataweza kufanikiwa.

Wapo waliojaribu kufanya hivyo Mwaka 2015 kuitisha CCM kuwa mtu fulani asipopitishwa basi kitawaka au chama kitakufa na watu kugawana mbao . Lakini walishangaa CCM ukisonga mbele kwa nguvu ,kasi na uimara wa hali ya juu sana kuwahi kushuhudiwa katika historia ya Taifa letu.

Kwa hiyo asije akatokea mtu pembeni akawa anadanganya watu kuwa yeye ndiye chama na bila yeye hakuna CCM au kwamba yeye ndiye mwenye nguvu ndani ya CCM na chochote atakacho ni lazima kifanikiwe na kutekelezwa. Narudia kusema tena kuwa CCM ni Dude Moja kubwa sana ambalo huwezi kushindana nalo maana utakuwa unashindana na nguvu ambayo huwezi kuikabili na huwezi kujua uikabili kutokea wapi na kwa silaha ipi.

Kumshambulia au kujaribu kumtageti Rais Samia kwa kumchafua au kutaka kupandikiza chuki ili achukiwe .unakuwa unajisumbua tu maana siku alipotangazwa kuwa mgombea wa CCM uchaguzi ujao akawa tayari ni mali ya CCM na wana CCM wote. Kwa hiyo vita yoyote ile itakayo inuka inakuwa ni vita ya wana CCM wote na chama kwa ujumla wake. Adui wa Rais Samia ni adui wa CCM yote na wana CCM kwa ujumla wake. Kwa hiyo vita yake ni kubwa sana kwa yeyote atakaye jaribu kumtikisa au Kumyumbisha au kumhujumu Rais Samia kwa sasa.

Uwe tayari kupambana na mamilioni kwa mamilioni ya wanachama,wafuasi na wakereketwa wa CCM kabla ya kumfikia Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anayetaka kufanya hivyo ni lazima ajipime na kujitathmini Kabla ya kuja kujutia baadaye. CCM tulishakula viapo vya kulinda viongozi wetu na wagombea wetu kwa kuwapigania mpaka tone na dakika ya mwisho. Kwa umoja wetu tutamlinda na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile iwayo.View attachment 3413439

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huu ndio ukweli,na ukweli unauma
 
Una ukweli gani unaoujua wewe hapo ccm? Wewe na polepole nani anajua ukweli?
Uliyoandika ni kama vile ccm siyo chama ca wanadamu waliohai!
Na hii inadhihirisha kwamba wewe ni chawa mjinga!
Uende kwanza ukamalizie kusoma upunguze ujinga ujinga huu
Nyumbu
 
Iwapo hakika hakuna Mungu, basi hakuna mamlaka yoyote ya juu isiyoweza kupingwa wala kuhojiwa.

Maamuzi ya chama chochote cha siasa, ikiwemo CCM, hayawezi kuchukuliwa kana kwamba ni ya mwisho au matakatifu. Ni matokeo ya fikra, matamanio na mapatano ya wanadamu – viumbe wenye mapungufu, wenye mabadiliko, na wenye uwezo wa kujikosoa.

Hivyo basi, kuyahesabu maamuzi hayo kuwa hayapingiki ni kuyainua hadi hadhi ya kimungu, jambo ambalo si sahihi kiakili wala kimaadili. Katika ulimwengu ambao hakuna mamlaka ya kiungu, uhuru wa fikra, hoja na mabadiliko ya kisiasa vinapaswa kuwa msingi wa kila uamuzi wa pamoja.

Chama ni chombo cha wanadamu, si sauti ya miungu; na kama wanadamu wana akili na dhamira, basi wana uwezo halali wa kupinga, kupendekeza na kubadilisha maamuzi yoyote yale.
Nyumbu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Liwake jua au inyeshe mvua, Dunia isimame au Dunia izunguke katika mhimili wake. Kamwe na katu maamuzi ya CCM ya kumpitisha na kumuidhinisha Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama yetu Mpendwa kuwa Mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM hayatabadilika wala kubadilishwa hata nukuta au herufi.

CCM haijawahi kuyumba wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kutishwa wala kutishika na makelele ya watu wachache wenye uchu ,uroho na tamaa ya madaraka. CCM ikifanya maamuzi inakuwa imefanya na ndio unakuwa msimamo wa chama kizima na wanachama wote kwa ujumla wake.

Kikundi cha watu wachache ambao kwa Upofu wao wa akili na macho wanaoweza kujaribu kutaka kushawishi au kuchochea kutaka kufanya Mapinduzi ya maamuzi ya CCM hawawezi kamwe na katu kupindua au kubadilisha maamuzi ya CCM yaliyofikiwa pale Mkoani Dodoma.

CCM haikukurupuka wala kukurupushwa kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea wake wa Urais. Ni maamuzi yaliyofanywa kwa umakini kabisa. Ni maamuzi ambayo yameungwa mkono na wana CCM wote Nchini Kwote katika kukata kiu ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania wenye kutaka kuona Rais Samia anaendelea kuongoza Taifa Letu.,hasa kutokana na uchapakazi wake, uzalendo wake na maono makubwa aliyonayo.

Kwa hiyo wanaotumika na kutumiwa kutaka kuleta vurugu ndani ya CCM kwa lengo la kutaka kuhujumu chama pamoja na kuleta migawanyiko na kupandikiza chuki kamwe na katu hawataweza kufanikiwa.

Wapo waliojaribu kufanya hivyo Mwaka 2015 kuitisha CCM kuwa mtu fulani asipopitishwa basi kitawaka au chama kitakufa na watu kugawana mbao . Lakini walishangaa CCM ukisonga mbele kwa nguvu ,kasi na uimara wa hali ya juu sana kuwahi kushuhudiwa katika historia ya Taifa letu.

Kwa hiyo asije akatokea mtu pembeni akawa anadanganya watu kuwa yeye ndiye chama na bila yeye hakuna CCM au kwamba yeye ndiye mwenye nguvu ndani ya CCM na chochote atakacho ni lazima kifanikiwe na kutekelezwa. Narudia kusema tena kuwa CCM ni Dude Moja kubwa sana ambalo huwezi kushindana nalo maana utakuwa unashindana na nguvu ambayo huwezi kuikabili na huwezi kujua uikabili kutokea wapi na kwa silaha ipi.

Kumshambulia au kujaribu kumtageti Rais Samia kwa kumchafua au kutaka kupandikiza chuki ili achukiwe .unakuwa unajisumbua tu maana siku alipotangazwa kuwa mgombea wa CCM uchaguzi ujao akawa tayari ni mali ya CCM na wana CCM wote. Kwa hiyo vita yoyote ile itakayo inuka inakuwa ni vita ya wana CCM wote na chama kwa ujumla wake. Adui wa Rais Samia ni adui wa CCM yote na wana CCM kwa ujumla wake. Kwa hiyo vita yake ni kubwa sana kwa yeyote atakaye jaribu kumtikisa au Kumyumbisha au kumhujumu Rais Samia kwa sasa.

Uwe tayari kupambana na mamilioni kwa mamilioni ya wanachama,wafuasi na wakereketwa wa CCM kabla ya kumfikia Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anayetaka kufanya hivyo ni lazima ajipime na kujitathmini Kabla ya kuja kujutia baadaye. CCM tulishakula viapo vya kulinda viongozi wetu na wagombea wetu kwa kuwapigania mpaka tone na dakika ya mwisho. Kwa umoja wetu tutamlinda na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile iwayo.View attachment 3413439

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tunza huu uzi.

Samia akipewa nafasi ya kugombea nafasi ya urais nipigwe ban ya mwezi mzima.
 
Hapana tumuone tu akiomba wadhamini kama Marais wenzake
Bibi engeweza kufuata utaratibu unaotakiwa, ila kwa kimbele mbele na kuwashwawashwa kwa mzee wa Msoga ndiko kulitibua utararibu usifuatwe. Haka ka jamaa ndo maana Generali PK alikatukana kuwa ushauri wake ni NONSENSE ! Watanzania wachache mkakasirikka eti ametukana kiongozi wenu. Ni kutokana na tabia hii ya kutaka kuwa mbele mbele na ule ushauri wake aliotoa kule Addis Abbaba kuwa PK kwa nini asiongee na waasi wake walioko kule DRC. Asingekuwa M7 na busara zake kuwapatanisha, mzee wa Msoga genge leader angeaibika.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Liwake jua au inyeshe mvua, Dunia isimame au Dunia izunguke katika mhimili wake. Kamwe na katu maamuzi ya CCM ya kumpitisha na kumuidhinisha Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama yetu Mpendwa kuwa Mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM hayatabadilika wala kubadilishwa hata nukuta au herufi.

CCM haijawahi kuyumba wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kutishwa wala kutishika na makelele ya watu wachache wenye uchu ,uroho na tamaa ya madaraka. CCM ikifanya maamuzi inakuwa imefanya na ndio unakuwa msimamo wa chama kizima na wanachama wote kwa ujumla wake.

Kikundi cha watu wachache ambao kwa Upofu wao wa akili na macho wanaoweza kujaribu kutaka kushawishi au kuchochea kutaka kufanya Mapinduzi ya maamuzi ya CCM hawawezi kamwe na katu kupindua au kubadilisha maamuzi ya CCM yaliyofikiwa pale Mkoani Dodoma.

CCM haikukurupuka wala kukurupushwa kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea wake wa Urais. Ni maamuzi yaliyofanywa kwa umakini kabisa. Ni maamuzi ambayo yameungwa mkono na wana CCM wote Nchini Kwote katika kukata kiu ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania wenye kutaka kuona Rais Samia anaendelea kuongoza Taifa Letu.,hasa kutokana na uchapakazi wake, uzalendo wake na maono makubwa aliyonayo.

Kwa hiyo wanaotumika na kutumiwa kutaka kuleta vurugu ndani ya CCM kwa lengo la kutaka kuhujumu chama pamoja na kuleta migawanyiko na kupandikiza chuki kamwe na katu hawataweza kufanikiwa.

Wapo waliojaribu kufanya hivyo Mwaka 2015 kuitisha CCM kuwa mtu fulani asipopitishwa basi kitawaka au chama kitakufa na watu kugawana mbao . Lakini walishangaa CCM ukisonga mbele kwa nguvu ,kasi na uimara wa hali ya juu sana kuwahi kushuhudiwa katika historia ya Taifa letu.

Kwa hiyo asije akatokea mtu pembeni akawa anadanganya watu kuwa yeye ndiye chama na bila yeye hakuna CCM au kwamba yeye ndiye mwenye nguvu ndani ya CCM na chochote atakacho ni lazima kifanikiwe na kutekelezwa. Narudia kusema tena kuwa CCM ni Dude Moja kubwa sana ambalo huwezi kushindana nalo maana utakuwa unashindana na nguvu ambayo huwezi kuikabili na huwezi kujua uikabili kutokea wapi na kwa silaha ipi.

Kumshambulia au kujaribu kumtageti Rais Samia kwa kumchafua au kutaka kupandikiza chuki ili achukiwe .unakuwa unajisumbua tu maana siku alipotangazwa kuwa mgombea wa CCM uchaguzi ujao akawa tayari ni mali ya CCM na wana CCM wote. Kwa hiyo vita yoyote ile itakayo inuka inakuwa ni vita ya wana CCM wote na chama kwa ujumla wake. Adui wa Rais Samia ni adui wa CCM yote na wana CCM kwa ujumla wake. Kwa hiyo vita yake ni kubwa sana kwa yeyote atakaye jaribu kumtikisa au Kumyumbisha au kumhujumu Rais Samia kwa sasa.

Uwe tayari kupambana na mamilioni kwa mamilioni ya wanachama,wafuasi na wakereketwa wa CCM kabla ya kumfikia Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anayetaka kufanya hivyo ni lazima ajipime na kujitathmini Kabla ya kuja kujutia baadaye. CCM tulishakula viapo vya kulinda viongozi wetu na wagombea wetu kwa kuwapigania mpaka tone na dakika ya mwisho. Kwa umoja wetu tutamlinda na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile iwayo.View attachment 3413439

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wahuni nyie ndio mtaharibu chama kwa kuleta udikteta kikwelikweli. Maana ccm hsijawahi kua na udikteta.
 
Mwenyezi Mungu anatoaga mitihani Kwa sisi wazazi kuleta duniani mbegu kama hizi ili jina lake litukuzwe. 🤝🤝
 
Screenshot_20250603-214714.png
 
Anayekirimu pumzi ndiye atakaye batilisha kwa vitendo halisia.
 
Acha kutulisha maneno yako sisi ccm hatukubali kupelekwa kama kondoo katiba ilibanangwa kumpitisha mgombea irudiwe kama mnaamini anakubalika na ccm wote.
 
Back
Top Bottom