UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,753
- 12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Enyi akina dada ambao mmekuwa mkitendwa kila siku na baadhi ya wanaume ambao hawajitambui na kueleweka, naomba niwaletee kwenu kabila la watu makini, wanaojitambua, wanaojiheshimu, wanaojali, walio na upendo wa dhati!, si mwingine bali ni Mkurya!.
Wakurya Mungu katupatia moyo wa upendo na unyenyekevu kupita kiasi na ndiyo maana huwa hatuna desturi ya kuchepuka!. Mkurya kuchepuka ni laana na ndiyo maana huwa hatuchepuki!.
Kitu kingine ambacho Mungu katujalia ni kusukuma misonobari ya uhakika!, sababu ya kusukuma misonobari ni kwakuwa tunakula chakula (Ubhukima) hatuli mboga (Chipsi mayai).
Hivyo niwaombe kina dada ambao mnateswa na mapenzi, hebu karibuni Ukuryani mu-enjoy mapenzi, achaneni na maumivu!.