Hakuna Mwanaume anayejali, kupenda, kuheshimu mke kama Mkurya!

Hakuna Mwanaume anayejali, kupenda, kuheshimu mke kama Mkurya!

Ni kweli,baba Magambo jirani yangu mtaani ana skendo ya kulishwa limbwata.......ila mbona naskia mnakuwa na wake wengi nyie?

Wake wengi ni uroho wa papuchi tu!
 
Waliajiri wakurya wengi kwenye vyombo vya ulinzi na usalam!,Kwani walitumia methodology gani wakati makabila ni zaidi ya 120?
Inamaana kwenye vyombo vya ulinzi na usalama Kuna wakurya wengi tofauti na makabila mengine?😂
 
Back
Top Bottom