Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Fanya tafiti na anza na kujitafiti wewe Mwenyewe.
Iko hivi. Twende moja kwa Moja kwenye mahusiano kati ya Mwanaume na Mwanamke ambao wapo kwenye rika linalo endana, wewe mwanaume unaweza tongoza yani anafaa kwa Kilimo cha mbogamboga.
Binafsi huwa siwezi kabisa kudumisha urafik na mwanamke, kabisa yani.
Kwa kutambua hilo sinaga muda kabisa wa urafiki na hao viumbe, yani siwezi kabisa kuwa na urafiki nao, urafiki ambao sijui kabisa unahusiana na nini.
Nikizungumza na Mwanamke ni yule tunafanya kazi ofisi moja, au Ni mambo ya Kanisa full stop. Mbali na hapo ladba awe ndugu yangu.
Kama nikifanya urafiki na Mwanamke uwa nafanya huku tayari nimemwambia kuwa nampenda, na kikubwa nasubiri jibu lake.
Binafsi bado sioni urafiki kati ya Mwanamke na Mwanaume, labda ex wangu kidogo tunaweza zungumza na Kupiga Story.
Sasa kuna vidume wenzangu wana shobo hadi sio poa. Ifike mahali wanaume tuanze kijishtukia aiseee.
Urafiki na mwanamke ni kwenye kazi au Shuleni tu full stop. Mbali na hapo anakupotezea Muda tu. Keep her kama una malengo naye tu, mbali na hapo hizo shobo, tujifunze kubalance shobo
Unakua na rafiki wa kike kila siku wewe ndio wakuombwa hela, kila siku wewe ndio wakumpa Zawadi.
Asili ya mwanamke ni kupenda Kupewa, sasa huna malengo nae unatafuta ukaribu nae wa nini? Utoboke kwake then wewe siku ukiwa na shida ndio unatafuta wanaume wenzio?
Sawa wanawake ni Mapambo ya Dunia, lakini wanaume tunatakiwa tujue nini tunataka tupunguze kushikwa Masikio.
Mwanaume Piga kazi, kuwa na mahusiano ya kimapenzi. Achana na urafik usio kuwa na kichwa wala miguu.
Tuambie upo Upande gani, wale wa shobo milioni hadi kwa mademu za watu, au hupendi shobo kabisa?
Mwanamke huna content kichwani wala hujanivutia uzuri wako, kaa kushoto sina Muda na umbea
Mwamba unajikuta msamalia mwema. Ukisemeshwaa na mwanamke unacheka cheka tu hata kitu hakichekeshi. Duu