Hakuna Mwanaume anayependa Ukaribu na Jinsia ya Kike na sio Malaya

Binafsi Ninae rafiki wa kike,
Sijutii kumfahamu na siwazi kumla
Kanisevu michongo mingi sn na bado namhitaji, kumla litakua kosa kubwa sn la kiufundi. Wanaume tuache Tamaa
Pin it
 
Kwa umri huu sili kila ninachokipata,nakula ninachokitaka...
So kuna ambao naona siwezi kuwala hata waweje..hao wanaweza kuwa marafiki.
Hata ambae sio type yako anaweza kuwa rafik, ila kwa sababu ya msingi, labda ni mteja wako, au wewe ndie mteja wako. au kakuomba ushauri, so, unaweza mpa time yako kidogo
 
Mwenye masikio na asikie hata mm binafsi huo ujinga nishaukataa kabisa.uko sahihi mkuu,halafu kingine wanaume wanamna hyo hapo wasiojua kubance shobo niwatu wasio jiamini ktk mienendo yao.hawamini guts zao.
hakika
 
unawezaje kuwa na urafiki na mwanamke yan siri zako za muhimu ukamwambie tu na hakuna chochote kinacho endelea yaani siyo mpenzi wako?
 
unawezaje kuwa na urafiki na mwanamke yan siri zako za muhimu ukamwambie tu na hakuna chochote kinacho endelea yaani siyo mpenzi wako?
 
Attachments

  • enda-ukaulize-boyfriend-yako-tiktoktrend-trending-640-ytshorts.savetube.me.mp4
    3.5 MB
Mara nyingi hakunaga urafiki wa kawaida Kati ya ME na KE,ukiona mwanaume na mwanamke Wana ukaribu Sana jua Happ Kuna mmoja kakubali kumtanulia mwenzake miguu.
 
Upo sahihi mkuu
 
Hata ambae sio type yako anaweza kuwa rafik, ila kwa sababu ya msingi, labda ni mteja wako, au wewe ndie mteja wako. au kakuomba ushauri, so, unaweza mpa time yako kidogo
Pia kuna watu muhimu kwenye maisha yetu,ukimla siku mapenzi yakiisha na urafiki ndio Bye bye [emoji112]
 
]

mwanamke huna content kichwani wala hujanivutia uzuri wako, kaa kushoto sina muda na umbea
 
Mwenye masikio na asikie hata mm binafsi huo ujinga nishaukataa kabisa.uko sahihi mkuu,halafu kingine wanaume wanamna hyo hapo wasiojua kubance shobo niwatu wasio jiamini ktk mienendo yao.hawamini guts zao.
Kiufupi wanadhani tukiwaona wapo na ukaribu na mademu wengi tunajua kuwa wao ni miamba yani mtu mmekaa maskani Kila demu akipita atataka amuongeleshe Kisha achukue namba
 
nilikuwaga nae mmoja aisee,nilipasuka mara mbili tatu nikaona hapana urafiki na hv viumbe haiwezekani...BY THE WAY UNAWEZA KUWA NAE ILA AWE ANAJIWEZA HUWA HAWANA SHIDA ILA ASIYEJIWEZA MZIGO TENA HEAVY
 
Kiufupi wanadhani tukiwaona wapo na ukaribu na mademu wengi tunajua kuwa wao ni miamba yani mtu mmekaa maskani Kila demu akipita atataka amuongeleshe Kisha achukue namba
Kila demu anasema muache huyo wangu ?? anaomba kabisa kwa wadau kuwa yule niachieni ni wangu tayar.

Mnabaki mnashangaa kwahiyo kila demu wewe wako mzee aisee
 
Kila demu anasema muache huyo wangu ?? anaomba kabisa kwa wadau kuwa yule niachieni ni wangu tayar.

Mnabaki mnashangaa kwahiyo kila demu wewe wako mzee aisee
Labda ni lifestyle tu mkuu, inawezekana wngine anawala kimya kimya, au pia kuna manufaa anayapata wewe hauyaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…