Hakuna mwanaume mwenye ujasiri wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyeolewa isipokuwa mwanamke huyo amempa ishara kwamba yuko tayari

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
1,497
Reaction score
2,681
Hakunaga mwanamke anaecheat kwa bahati mbaya wote huwa wamedhamiria,thus ukimsamehe ataendelea tu kucheat kwa sababu wao utanguliza nyege mbele akili nyuma,wakishachika ukimbilia kwa mwamposa kukanyaga mafuta ya urejesho wa mume.

Kama mwanaume, ukimkamata mke wako akiwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwingine, tafadhali mshughulikie mke wako kwa sababu ndiye aliyekianzisha.
Kwa kawaida, wanaume huwahofia wake za watu, lakini wake za watu huwatega wanaume.

We mwanamke gani kila wakati ukiombwa no unatoa ,,uvaaji sifuri unacheka na kila mtu,,marafiki zako ni wale wadangaji waio olewa..

Lazima kujipambanua ,,ukiwa mke wa mtu una kazi ya kumweshimisha mmeo

Kuwa fanya wanaume wengine wamsifu mmeo alijua kuoa ...na siyo wanaume kuonyeshana mtu rahisi wa kufanya naye mapenzi

Mwanamke akikucheat maana yke amekudharau.

Maandiko yapo wazi mwanamke mpumbavu anastahili talaka.
#MadamKasema
@maisha_halisitz
 
Makungwi mmekuwa wengi sana.
Ukweli kwenye sekta hii hainaga kanuni, hoja nyingi mnapapasa tu
 
Hakunaga mwanamke anaecheat kwa bahati mbaya wote huwa wamedhamiria,thus ukimsamehe ataendelea tu kucheat kwa sababu wao utanguliza nyege mbele akili nyuma,wakishachika ukimbilia kwa mwamposa kukanyaga mafuta ya urejesho wa mume.

Kama mwanaume, ukimkamata mke wako akiwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwingine, tafadhali mshughulikie mke wako kwa sababu ndiye aliyekianzisha.
Kwa kawaida, wanaume huwahofia wake za watu, lakini wake za watu huwatega wanaume.

We mwanamke gani kila wakati ukiombwa no unatoa ,,uvaaji sifuri unacheka na kila mtu,,marafiki zako ni wale wadangaji waio olewa..

Lazima kujipambanua ,,ukiwa mke wa mtu una kazi ya kumweshimisha mmeo

Kuwa fanya wanaume wengine wamsifu mmeo alijua kuoa ...na siyo wanaume kuonyeshana mtu rahisi wa kufanya naye mapenzi

Mwanamke akikucheat maana yke amekudharau.

Maandiko yapo wazi mwanamke mpumbavu anastahili talaka.
#MadamKasema
@maisha_halisitz
Yeyote anayechepuka huwa kadhamiria.

Hilo tendo halina cha bahati mbaya.

Washirika wote [Me na We] hutenda kwa kudhamiria.

Hii ni katika muktadha wa hiari.
 
Back
Top Bottom