Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Endelea kuwaza kama MaitiHeche anataka kuhamasisha tena watoto wa watu wakapigwe kete mtaani kisa Mhalifu na mropokaji Tundu Lissu ambaye anarekebishwa Ukonga.
Hakuna Mtanzania atatoka tena baada ya kuoneshwa intro October 29 kuwa Tanzania haichezewi hata kidogo! Kuna funzo kubwa limepatikani hatuwezi kupoteza maelfu kwa sababu ya Lisu acha asokotwe iwe fundisho kwa wanaharakati uchwara