Hakuna mwenye uwezo wa kuandamana nchi hii baada ya show ya October 29 Heche Acha Utapeli

Endelea kuwaza kama Maiti
 
Ebu serikali au jehi la polisi lisiweke beria kila sehemu sijuya maandamano uone mziki wake
 
Siku hizi kuna drones chawa, mapigo unayapata huko huko ulipo dunia imebadilika

Awamu ile mmepiga watu risasi za kichwa msifikiri awamu ijayo watatoka kama vile walivyotoka wamejifunza kupitia makosa.

Ulikua uzwazwa kutumia risasi za moto kwa watu walioshika bendera, maji na simu.

Kisasi kikifika tusianze kusema turudi mezani huo muda ulishapita sababu mliua watu na mkanyima ndugu zao maiti wakazike.
 
Mkuu kuna PHD nyingine hapa Burundi mwambie aje ailambe na hii.
 
Damu ikimwagika nchi hii watu wa kulaumiwa ni CCM
 
Hivi unafahamu kila mtanganyika anaandamana kila wakati akilini mwake bila kubeba bango? Ogopa maandamano ya moyoni kwani ipo siku wataandamana physically na hakuna kitu utafanya.
Kwa taarifa yako wakuu wote wa vyombo vya ulinzi wanasikilizia ICC hivyo hawatakuwa tayari kuongeza makosa zaidi. Kaa rada na kamera yako uchukue picha za ukumbusho wa maandamano makubwa ya kihistoria nchini.
 
Mtu akishapoteza tumaini anakuwa hana kupoteza haogopi kufanya chochote
 
Hata kabla ya Oktoba 29 mawazo yalikuwa hayohayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…