Hakuna mwingine zaidi ya Mrisho Mpoto katika shughuli za serikali?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Huwa namuona huyu Mrisho Mpoto akiwa ndiye mtumbuizaji karibia katika shughuli zote muhimu za Serikali.

Ni kwamba yeye ndiye anayejua sana au kuna uhaba mkubwa wa watumbuizaji wengine wanaofiti katika hizo shughuli za serikali?
 
Ndo mjue uchawi upo,si uchawi wa madawa. Big no.Ila ni uchawi wa kuaminisha hao wanaoorganise hizo sherehe kuwa wewe ndo unaweza.Yaani wewe ni Irremplaçable,labda ufe au uwe kitandani unaumwa. Hongera Mrisho kwa kukamata fursa.
 
Huwa namuona huyu Mrisho Mpoto akiwa ndiye mtumbuizaji karibia katika shughuli zote muhimu za Serikali.

Ni kwamba yeye ndiye anayejua sana au kuna uhaba mkubwa wa watumbuizaji wengine wanaofiti katika hizo shughuli za serikali?
Huyo ni chawa wa mama
 
Alianza kama mkosoa watawala. Ili kumnyamazisha wakaanza kumpa hizo dili za hapa na pale. Analamba tu asali
 
Back
Top Bottom