Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Nafikiri hadi sasa wana CHADEMA watakuwa wameanza kufunguka akili na kuelewa mambo yalivyo juu ya unyonyaji mkubwa na ulaghai wanaofanyiwa na viongozi wao aina ya akina Heche.
Wana CHADEMA watakuwa sasa Wameelewa kuwa hakuna mzalendo ndani ya CHADEMA bali kuna matapeli na wajasiriasiasa ambao wapo kwa ajili ya kuitumia CHADEMA kushibisha Matumbo yao tu na siyo kumpigania Mtu.
Heche na CHADEMA walikuwa wanajifanya wanapayuka hadi kutoa mate mdomoni wakisema eti Wanataka serikali iache kununua magari ya gharama ,mara utasikia magari ni anasa halafu kumbe nyuma ya pazia huku wanashindana kununua Magari ya Kifahari ya Mamilioni kwa Mamilioni kwa ajili ya starehe zao tu huku wakiomba michango kila Uchao ili waendelee kutanua kwa raha zao.
Wamedharauliwa sana na viongozi wao na kuchukuliwa kama Manyumbu tu yasiyo na akili .Ndio maana wamekuwa wakiwadanganya kwa maneno mbalimbali ya kilaghai na uongo tu .Lakini sasa wana CHADEMA wameujua ukweli halisi .
Kweli wajinga ndio waliwao na kwa hakika wana CHADEMA wameliwa vya kutoshaaa.
Hakuna Mzalendo ndani ya CHADEMA wala mwenye uchungu na Taifa hili . Wote ni njaa tupu na wasaka tonge tu. Wote wamejitegesha sokoni ili watupiwe chochote kile kupeleka kwenye matumbo yao.
Ni CCM pekee iliyo na uchungu na Maisha ya watanzania. Sasa angalia heche kupata umakamu tu anautumia kujitajirisha na kuziba midomo wenzake wanaomnyooshea kidole cha kutaka ajiuzuru kutokana na kukumbwa na kashifa mbalimbali za rushwa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Kwa hakika ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili