Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Magari ya Makonda ulishawahi kuyaonaNdugu zangu Watanzania,
Nafikiri hadi sasa wana CHADEMA watakuwa wameanza kufunguka akili na kuelewa mambo yalivyo juu ya unyonyaji mkubwa na ulaghai wanaofanyiwa na viongozi wao aina ya akina Heche.
Wana CHADEMA watakuwa sasa Wameelewa kuwa hakuna mzalendo ndani ya CHADEMA bali kuna matapeli na wajasiriasiasa ambao wapo kwa ajili ya kuitumia CHADEMA kushibisha Matumbo yao tu na siyo kumpigania Mtu.
Heche na CHADEMA walikuwa wanajifanya wanapayuka hadi kutoa mate mdomoni wakisema eti Wanataka serikali iache kununua magari ya gharama ,mara utasikia magari ni anasa halafu kumbe nyuma ya pazia huku wanashindana kununua Magari ya Kifahari ya Mamilioni kwa Mamilioni kwa ajili ya starehe zao tu huku wakiomba michango kila Uchao ili waendelee kutanua kwa raha zao.
Wana CHADEMA wamenyonywa kwa muda mrefu sana na viongozi wao. Wameibiwa sana michango yao ambayo imekuwa haieleweki pesa zinakwenda wapi. Wamedharauliwa sana na viongozi wao na kuchukuliwa kama Manyumbu tu yasiyo na akili .Ndio maana wamekuwa wakiwadanganya kwa maneno mbalimbali ya kilaghai na uongo tu .Lakini sasa wana CHADEMA wameujua ukweli halisi .
Kweli wajinga ndio waliwao na kwa hakika wana CHADEMA wameliwa vya kutoshaaa.
Hakuna Mzalendo ndani ya CHADEMA wala mwenye uchungu na Taifa hili . Wote ni njaa tupu na wasaka tonge tu. Wote wamejitegesha sokoni ili watupiwe chochote kile kupeleka kwenye matumbo yao.
Ni CCM pekee iliyo na uchungu na Maisha ya watanzania. Sasa angalia heche kupata umakamu tu anautumia kujitajirisha na kuziba midomo wenzake wanaomnyooshea kidole cha kutaka ajiuzuru kutokana na kukumbwa na kashifa mbalimbali za rushwa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Kwa hakika ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
inasikitisha sana kiongozi wa chadema anakula bata na pesa za tonetone zilizochangwa na wanachadema kwa mbinde sana, Inafedhehesha sana aise.Ndugu zangu Watanzania,

Mbibi mzima unakata miuno hadharani na vibintiNdugu zangu Watanzania,

endelea kupigwa miti na mbogambogaNdugu zangu Watanzania,

Ushamaliza eda?Ndugu zangu Watanzania,

Heche shikilia hapohapo, hawa chawa wanachachawa kupita maelezo. Ni raha sana chawa wanapohangaika na mtu pamoja na chama wanachotamani kitoweke, imagine eti chawa Luka anapambania CHADEMA. Hypocrisy at it's most pathetic level.Ndugu zangu Watanzania,
Nafikiri hadi sasa wana CHADEMA watakuwa wameanza kufunguka akili na kuelewa mambo yalivyo juu ya unyonyaji mkubwa na ulaghai wanaofanyiwa na viongozi wao aina ya akina Heche.
Wana CHADEMA watakuwa sasa Wameelewa kuwa hakuna mzalendo ndani ya CHADEMA bali kuna matapeli na wajasiriasiasa ambao wapo kwa ajili ya kuitumia CHADEMA kushibisha Matumbo yao tu na siyo kumpigania Mtu.
Heche na CHADEMA walikuwa wanajifanya wanapayuka hadi kutoa mate mdomoni wakisema eti Wanataka serikali iache kununua magari ya gharama ,mara utasikia magari ni anasa halafu kumbe nyuma ya pazia huku wanashindana kununua Magari ya Kifahari ya Mamilioni kwa Mamilioni kwa ajili ya starehe zao tu huku wakiomba michango kila Uchao ili waendelee kutanua kwa raha zao.
Wana CHADEMA wamenyonywa kwa muda mrefu sana na viongozi wao. Wameibiwa sana michango yao ambayo imekuwa haieleweki pesa zinakwenda wapi. Wamedharauliwa sana na viongozi wao na kuchukuliwa kama Manyumbu tu yasiyo na akili .Ndio maana wamekuwa wakiwadanganya kwa maneno mbalimbali ya kilaghai na uongo tu .Lakini sasa wana CHADEMA wameujua ukweli halisi .
Kweli wajinga ndio waliwao na kwa hakika wana CHADEMA wameliwa vya kutoshaaa.
Hakuna Mzalendo ndani ya CHADEMA wala mwenye uchungu na Taifa hili . Wote ni njaa tupu na wasaka tonge tu. Wote wamejitegesha sokoni ili watupiwe chochote kile kupeleka kwenye matumbo yao.
Ni CCM pekee iliyo na uchungu na Maisha ya watanzania. Sasa angalia heche kupata umakamu tu anautumia kujitajirisha na kuziba midomo wenzake wanaomnyooshea kidole cha kutaka ajiuzuru kutokana na kukumbwa na kashifa mbalimbali za rushwa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Kwa hakika ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Nilitaka nichangie kabla ya kugundua ni wewe condom ya kikeNdugu zangu Watanzania,

Ukipata muda mtumie aliyekutuma hii risiti ya abduly alafu ndio uje tena humu na majibu...Ndugu zangu Watanzania,

Umepiga kwenye mshono.Ukipata muda mtumie aliyekutuma hii risiti ya abduly alafu ndio uje tena humu na majibu...
Mheshimiwa Makonda Ni Mfanyabiashara Mkubwa sana .Magari ya Makonda ulishawahi kuyaona
Magari ya Abdul Ulishawai kuyaona ?
Hoja hujibiwa kwa hoja Bwana MdogoBora mama ako angepokea bao lako kwa njia ya mkungu kuliko kukuleta kuja kuwa mngese duniani
Bila shaka unashirikiana na heche kuiba pesa za chama kujineemesha matumbo yenuHeche shikilia hapohapo, hawa chawa wanachachawa kupita maelezo. Ni raha sana chawa wanapohangaika na mtu pamoja na chama wanachotamani kitoweke, imagine eti chawa Luka anapambania CHADEMA. Hypocrisy at it's most pathetic level.
Angekuwa na uchungu wa ubadhilifu basi angelia na ubadhilifu wa watumishi wa umma wanaofuja mali za walipa kodi akina Samia, Mwigulu, Makonda na wengineo au watoto wao akina Abdul au mafisadi papa akina Rostam, Kikwete and the likes au wauaji wa Watanganyika akina (again) Samia, Mafwele and gang lakini instead anapigia kelele pesa za chama anachokichukia na kutamani kitoweke. Such a stupid ass-hole.
Ale kwa jasho lake na siyo kutumia chama kujitajirishaMwache aenjoy mbona maboss zako huwasemi