Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
-
- #21
Mbona wewe hujazipuuza? Au ndio kujizima Data kwenyewe huko? Au umelewa gongoKama kawaida, watu wanaendelea kuzipuuzia nyuzi zako.
Vipi nawe unashirikiana na huyo bibi mvaa shanga nyingi kumtafutia madanga ya Kizimbabwe?Bila shaka unashirikiana na heche kuiba pesa za chama kujineemesha matumbo yenu
Wana CHADEMA sasa wameshajua ukweliinasikitisha sana kiongozi wa chadema anakula bata na pesa za tonetone zilizochangwa na wanachadema kwa mbinde sana, Inafedhehesha sana aise.
fisadi kama heche kamwe hawezi kua mzalendo
Sifa moja kubwa ya shetani ni uongo.Ndugu zangu Watanzania,
Nafikiri hadi sasa wana CHADEMA watakuwa wameanza kufunguka akili na kuelewa mambo yalivyo juu ya unyonyaji mkubwa na ulaghai wanaofanyiwa na viongozi wao aina ya akina Heche.
Wana CHADEMA watakuwa sasa Wameelewa kuwa hakuna mzalendo ndani ya CHADEMA bali kuna matapeli na wajasiriasiasa ambao wapo kwa ajili ya kuitumia CHADEMA kushibisha Matumbo yao tu na siyo kumpigania Mtu.
Heche na CHADEMA walikuwa wanajifanya wanapayuka hadi kutoa mate mdomoni wakisema eti Wanataka serikali iache kununua magari ya gharama ,mara utasikia magari ni anasa halafu kumbe nyuma ya pazia huku wanashindana kununua Magari ya Kifahari ya Mamilioni kwa Mamilioni kwa ajili ya starehe zao tu huku wakiomba michango kila Uchao ili waendelee kutanua kwa raha zao.
Wamedharauliwa sana na viongozi wao na kuchukuliwa kama Manyumbu tu yasiyo na akili .Ndio maana wamekuwa wakiwadanganya kwa maneno mbalimbali ya kilaghai na uongo tu .Lakini sasa wana CHADEMA wameujua ukweli halisi .
Kweli wajinga ndio waliwao na kwa hakika wana CHADEMA wameliwa vya kutoshaaa.
Hakuna Mzalendo ndani ya CHADEMA wala mwenye uchungu na Taifa hili . Wote ni njaa tupu na wasaka tonge tu. Wote wamejitegesha sokoni ili watupiwe chochote kile kupeleka kwenye matumbo yao.
Ni CCM pekee iliyo na uchungu na Maisha ya watanzania. Sasa angalia heche kupata umakamu tu anautumia kujitajirisha na kuziba midomo wenzake wanaomnyooshea kidole cha kutaka ajiuzuru kutokana na kukumbwa na kashifa mbalimbali za rushwa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Kwa hakika ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
sahihi 100%Wana CHADEMA sasa wameshajua ukweli
Bado ulikuwa usingizini kama unaamini kuna mwanasiasa anae pambania cheo flani kwa faida ya mtu mwingine amka utakojoa ili ni kwa faida zake mwenyewe na baadae ukifika wakati wakutaka umpe nafasi tena atakutetea kuzubaisha akipata nafasi maisha yake yana endelea kama kawaida wewe utajijua na shida zakoNdugu zangu Watanzania,
Nafikiri hadi sasa wana CHADEMA watakuwa wameanza kufunguka akili na kuelewa mambo yalivyo juu ya unyonyaji mkubwa na ulaghai wanaofanyiwa na viongozi wao aina ya akina Heche.
Wana CHADEMA watakuwa sasa Wameelewa kuwa hakuna mzalendo ndani ya CHADEMA bali kuna matapeli na wajasiriasiasa ambao wapo kwa ajili ya kuitumia CHADEMA kushibisha Matumbo yao tu na siyo kumpigania Mtu.
Heche na CHADEMA walikuwa wanajifanya wanapayuka hadi kutoa mate mdomoni wakisema eti Wanataka serikali iache kununua magari ya gharama ,mara utasikia magari ni anasa halafu kumbe nyuma ya pazia huku wanashindana kununua Magari ya Kifahari ya Mamilioni kwa Mamilioni kwa ajili ya starehe zao tu huku wakiomba michango kila Uchao ili waendelee kutanua kwa raha zao.
Wamedharauliwa sana na viongozi wao na kuchukuliwa kama Manyumbu tu yasiyo na akili .Ndio maana wamekuwa wakiwadanganya kwa maneno mbalimbali ya kilaghai na uongo tu .Lakini sasa wana CHADEMA wameujua ukweli halisi .
Kweli wajinga ndio waliwao na kwa hakika wana CHADEMA wameliwa vya kutoshaaa.
Hakuna Mzalendo ndani ya CHADEMA wala mwenye uchungu na Taifa hili . Wote ni njaa tupu na wasaka tonge tu. Wote wamejitegesha sokoni ili watupiwe chochote kile kupeleka kwenye matumbo yao.
Ni CCM pekee iliyo na uchungu na Maisha ya watanzania. Sasa angalia heche kupata umakamu tu anautumia kujitajirisha na kuziba midomo wenzake wanaomnyooshea kidole cha kutaka ajiuzuru kutokana na kukumbwa na kashifa mbalimbali za rushwa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Kwa hakika ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
1. Wengi wansoma halafu wanakupuuza.Mbona wewe hujazipuuza? Au ndio kujizima Data kwenyewe huko? Au umelewa gongo
Hazina ukweli wowote uleVipi shutuma alizokua anatoa yule dada wa Marekani kuhusu maisha ya akina mtoto wa mama, nazo unasemaje
Hakuna wa kusimamisha moto wa chadema. Jidanganye lakini mabosi wako wanaijua chadema ilivyo ya motoNdugu zangu Watanzania,
Nafikiri hadi sasa wana CHADEMA watakuwa wameanza kufunguka akili na kuelewa mambo yalivyo juu ya unyonyaji mkubwa na ulaghai wanaofanyiwa na viongozi wao aina ya akina Heche.
Wana CHADEMA watakuwa sasa Wameelewa kuwa hakuna mzalendo ndani ya CHADEMA bali kuna matapeli na wajasiriasiasa ambao wapo kwa ajili ya kuitumia CHADEMA kushibisha Matumbo yao tu na siyo kumpigania Mtu.
Heche na CHADEMA walikuwa wanajifanya wanapayuka hadi kutoa mate mdomoni wakisema eti Wanataka serikali iache kununua magari ya gharama ,mara utasikia magari ni anasa halafu kumbe nyuma ya pazia huku wanashindana kununua Magari ya Kifahari ya Mamilioni kwa Mamilioni kwa ajili ya starehe zao tu huku wakiomba michango kila Uchao ili waendelee kutanua kwa raha zao.
Wamedharauliwa sana na viongozi wao na kuchukuliwa kama Manyumbu tu yasiyo na akili .Ndio maana wamekuwa wakiwadanganya kwa maneno mbalimbali ya kilaghai na uongo tu .Lakini sasa wana CHADEMA wameujua ukweli halisi .
Kweli wajinga ndio waliwao na kwa hakika wana CHADEMA wameliwa vya kutoshaaa.
Hakuna Mzalendo ndani ya CHADEMA wala mwenye uchungu na Taifa hili . Wote ni njaa tupu na wasaka tonge tu. Wote wamejitegesha sokoni ili watupiwe chochote kile kupeleka kwenye matumbo yao.
Ni CCM pekee iliyo na uchungu na Maisha ya watanzania. Sasa angalia heche kupata umakamu tu anautumia kujitajirisha na kuziba midomo wenzake wanaomnyooshea kidole cha kutaka ajiuzuru kutokana na kukumbwa na kashifa mbalimbali za rushwa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Kwa hakika ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Kwani nao mbona hawakukanusha kama sio kweliHazina ukweli wowote ule
Anafanya Biashara hadi kwenye kudhulumu nyumba za GSM.Mheshimiwa Makonda Ni Mfanyabiashara Mkubwa sana .
Kwa hiyo heche anakikwangua chama kutaka kushindana na Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Makonda?
Basi atafika amechoka sanaa
Acha uzushi wako na uongo wako hapa wewe. Mheshimiwa Makonda ni mtu safi na asiye na doa la aina yoyo ileAnafanya Biashara hadi kwenye kudhulumu nyumba za GSM.
Namkubali sana.
Mtu safi lbda makalio.Acha uzushi wako na uongo wako hapa wewe. Mheshimiwa Makonda ni mtu safi na asiye na doa la aina yoyo ile
Alizitoa mfukoni mwake. Kwani ulisikia wapi kaiba hela ya mtu ama umma?Mtu safi lbda makalio.
Kontena alizokuwa akifosi zipite kihuni bandarini kinyume cha sheria ...Kakoko akamkazia mtu safi wako na hela ya kununua zile gari alitolea ofisi ipi ?
Mwizi kama wezi wengine mnaowafuga humo nchini kwenu.Alizitoa mfukoni mwake. Kwani ulisikia wapi kaiba hela ya mtu ama umma?
Wewe ni Gasho!Mheshimiwa Makonda Ni Mfanyabiashara Mkubwa sana .
Kwa hiyo heche anakikwangua chama kutaka kushindana na Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Makonda?
Basi atafika amechoka sanaa
Umesamehewa Dhambi zako bure kabisaWewe ni Gasho!