Hakuna Mzalendo ndani ya CHADEMA wala mwenye uchungu na Taifa hili

inasikitisha sana kiongozi wa chadema anakula bata na pesa za tonetone zilizochangwa na wanachadema kwa mbinde sana, Inafedhehesha sana aise.

fisadi kama heche kamwe hawezi kua mzalendo

Kwaiyo wewe jamaa na lucas mnaipenda sana chadema si ndio??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwaiyo wewe jamaa na lucas mnaipenda sana chadema si ndio??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
In fact,
kama waTanzania ni vizuri kupendana na kuishi kwa umoja na amani gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…