Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Unafikira potofu na za wanywa kahawa he hao uliowataja walipokutana na fundi walifanywaje?
 
Casemiro ndio 6 bora duniani kwa sasa.anakaba,anaassist na kufunga mabao.
Msimu uliopita kaifunga Barcelona, juventus na Napoli 16 bora

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

Upo sawa kabisa 100% hakuna kama casemiro kwa sasa,
 
Duh..bakayako na casemiro mwaka huu wote wamekutana na huyo jamaa na timu zao zilichapwa tena kama casemiro ndyo hana ata vision ya nn anatakiwa kukifanya uwanjan ndyo maana el clasico alitolewa kuepuka adhabu

Huyu kijana barcelona ilibidi waanze kumtafutia kadi ya lazima, maana aliwazibia riziki sana hyo game.
 
Hakuna kama Sergio ndyo muhimili wa Barca yule hawawezi kumuuza hata kwa dawa sidhani kama wataweza kuruhusu kosa walilolifanya la kumuuza Dan Alves lijirudie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa anaitwa Fernandinho yupo Man City jamaa ni ana kaba utasema kesho haipo tena.

Sema tu kwakuwa sio mtu wa mbwembwe na majivuno ndio maana hazungumzwi.
Nenda kaangalie review za mechi za man city Vs barca uone uyo jamaa wako alivyokuwa anakimbiza kivuli cha super Sergio
 
Kuna jamaa anaitwa Fernandinho yupo Man City jamaa ni ana kaba utasema kesho haipo tena.

Sema tu kwakuwa sio mtu wa mbwembwe na majivuno ndio maana hazungumzwi.
No 6 wengi wanaasili ya ukimya sana nje ya uwanja mfano scholes,mzamir yasin...hii pia inapelekea kutokupata heshima wanazostahili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duniani kwa sasa no.6 ipo chelsea the blues peke yake
Wengine wasubir sanaaaa!

sent from TanDaLe
 
Jamaa anakaba sana lakn hana creativity kama Sergio kama unataka kuamin mcheki Sergio anavyofanya ata umpempira amekabwa hapotezi alfu anapiga passi za ajabu na za hatari zile pass zinaitwa killer pass
Kuna holding midfielder na defencing midfielder.. naona hao wametofautiana katika hilo.. inategemea na kocha anahitaji nin mtu km mourinho hawez kwenda sawa na sergio.
 
Sipingani nawe sababu kila mtu na jicho lake kweli busquets ni bonge la mido ya chin ila naamin xabi alonso ni bora zaid ya mtoto huyo wa catalan... same to michael carrick kwenye ubora wake, kuna mtu pia wakuitwa ander herrera huyu ni hatar.. watizame kwa jicho la 3 hao utagundua kitu fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…