Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

1.Sergio busquets hawana mpango wa kumuuza
2.anathaminika sana barcelona ndo maana anacheza kila msimu bila kua na sub.
3.pia sergio anafaa mifumo flani. Yule sii mpiga buti. Mourinho tunavomjua mpaka sasa namba 6 wake wengi anapenda wachafue. Mfano vidal au casmeiro wanaeza wakamfaa
 
Kweli ww ni mtu wa soccer
 
Kumbe ww hujui mpira nauhakika hata kombe la Dunia 2010 south hujacheki embu nenda kamuangalie vzr clip zake au angalia game ya Spain na France ya juz alivyowafanya ao kante na bakayoko wako
Kwahiyo mimi kumkataa Sergio ndio unanihukumu kuwa sikucheki World cup ya South?

Aisee inastajabishaa
 
Ameshatumika sana hana mda tena kubaki katika huo ubora, na umri pia hakuna shaka amebaki miaka michache ya kumaliza safari yake

Sent from my GT-I9195 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo mimi kumkataa Sergio ndio unanihukumu kuwa sikucheki World cup ya South?

Aisee inastajabishaa
Kama uliona unyama alioufanya kwa kukaba nafasi toka game ya kwanza hadi fainal anawakabili van de vart na sneijder usingemlinganisha na hao watoto ambao wana ndoto ya kufikia mafanikio yake
 


Mtoa uzi kwa sasa upepo upo kwa huyu mtoto wa kibrazil.

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Jaribu kufuatilia statistics zao wanapokutana nahsi utaona aibu kumtaja uyo dogo ambaye hata timu ya taifa anapigwa pigwa bench
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…