Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vicent del busque aliongeaga fact kumuhusu huyu jamaa
Lini Pep alitaka kumsajili Busquet ?Acha masihara 35 wakati pep aliweka 50 zikakataliwa au unafikir Sergio ni kma carric cio?
Tuko mwaka 2017 wewe unazungumzia story za 2010,Umeona kiwango cha Busquet baada ya Xavi na Alonso kustaaafu timu ya Taifa ?Kumbe ww hujui mpira nauhakika hata kombe la Dunia 2010 south hujacheki embu nenda kamuangalie vzr clip zake au angalia game ya Spain na France ya juz alivyowafanya ao kante na bakayoko wako
kwa kuwa kante hachezi madrid,barce au bayern sio..hakuna kama kante hapoCasemiro ndio 6 bora duniani kwa sasa.anakaba,anaassist na kufunga mabao.
Msimu uliopita kaifunga Barcelona, juventus na Napoli 16 bora
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
kutopangwa ni maono ya kocha,giroud ana ubora gani wa kumuweka bench laccanyavu?!Kante ni kiungo mzuri lakn anakosa ubunifu ndyo maana sometimes France national team anakaa bench
Anacheza # au sio mkuuUyu bado sana,awezi kusimama kama namba 6.
ahaa kumbe mkuuBado ana mambo mengi sana ya kujifunza hili awe namba 6 bora,kukimbia sana sio kigezo cha kuwa namba 6 bora.
Kucheza kwao hao kulikuwa kuna mtegemea yeye cio yeye kuwategemea waoTuko mwaka 2017 wewe unazungumzia story za 2010,Umeona kiwango cha Busquet baada ya Xavi na Alonso kustaaafu timu ya Taifa ?
Itakuwa ww huwa unafuatilia transfer news kwa kuangilia source za magazeti ya shigongoLini Pep alitaka kumsajili Busquet ?
Hii ni fact mkuuBusquet amefanya mabadiliko makubwa katika nafasi ya kiungo wa kukaba. Siku hizi namba 6 nae lazma awe mnyumbulifu sio kama yule Makelele wakuwasubiria wapinzani washambulie ndie aonekane.
Casemiro akijitahidi baada ya miaka michache anaweza akafikia japo nusu ya uwezo wa Busquet.
Umewahi kumuona akicheza soka lake nje ya Barcelona na timu ya Taifa ya Spain?Nje ya Barcelona na Spain huyo busquets hana tofauti na hamisi tambwe.
Kisa ww umeanza kuangalia mpira 2017 ndyo unataka tuongelee mambo ya mwaka husika?Tuko mwaka 2017 wewe unazungumzia story za 2010,Umeona kiwango cha Busquet baada ya Xavi na Alonso kustaaafu timu ya Taifa ?
Sasa acheze nje ya Barcelona ili iweje wa bongo noma kweli.Umewahi kumuona akicheza soka lake nje ya Barcelona na timu ya Taifa ya Spain?
Tuanzie hapo kwanza.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Si mnataka akacheze sehemu nyingine ili mutambue ubora wake!Sasa acheze nje ya Barcelona ili iweje wa bongo noma kweli.
Umeanza kumjua tangu lini?Wewe unamjua Marco Verratti kwel?