Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

Hakuna namba 6 kama Sergio Busqet!!

32d08028a83381970c31c243312add65.jpg
 
Busquet amefanya mabadiliko makubwa katika nafasi ya kiungo wa kukaba. Siku hizi namba 6 nae lazma awe mnyumbulifu sio kama yule Makelele wakuwasubiria wapinzani washambulie ndie aonekane.

Casemiro akijitahidi baada ya miaka michache anaweza akafikia japo nusu ya uwezo wa Busquet.
 
Kumbe ww hujui mpira nauhakika hata kombe la Dunia 2010 south hujacheki embu nenda kamuangalie vzr clip zake au angalia game ya Spain na France ya juz alivyowafanya ao kante na bakayoko wako
Tuko mwaka 2017 wewe unazungumzia story za 2010,Umeona kiwango cha Busquet baada ya Xavi na Alonso kustaaafu timu ya Taifa ?
 
Casemiro ndio 6 bora duniani kwa sasa.anakaba,anaassist na kufunga mabao.
Msimu uliopita kaifunga Barcelona, juventus na Napoli 16 bora

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
kwa kuwa kante hachezi madrid,barce au bayern sio..hakuna kama kante hapo
 
Sergio Busquets ni habari nyingine kwa kweli,
Ni kiungo hatari sana anayetumia akili nyingi.
Sijaona kama Busquets.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Tuko mwaka 2017 wewe unazungumzia story za 2010,Umeona kiwango cha Busquet baada ya Xavi na Alonso kustaaafu timu ya Taifa ?
Kucheza kwao hao kulikuwa kuna mtegemea yeye cio yeye kuwategemea wao
 
Busquet amefanya mabadiliko makubwa katika nafasi ya kiungo wa kukaba. Siku hizi namba 6 nae lazma awe mnyumbulifu sio kama yule Makelele wakuwasubiria wapinzani washambulie ndie aonekane.

Casemiro akijitahidi baada ya miaka michache anaweza akafikia japo nusu ya uwezo wa Busquet.
Hii ni fact mkuu
 
Nje ya Barcelona na Spain huyo busquets hana tofauti na hamisi tambwe.
Umewahi kumuona akicheza soka lake nje ya Barcelona na timu ya Taifa ya Spain?
Tuanzie hapo kwanza.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Umewahi kumuona akicheza soka lake nje ya Barcelona na timu ya Taifa ya Spain?
Tuanzie hapo kwanza.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Sasa acheze nje ya Barcelona ili iweje wa bongo noma kweli.
 
Si mnataka akacheze sehemu nyingine ili mutambue ubora wake!
Au mlimaanisha nini?
Anyway, pengine nyie ndo wale wale.

Back
Top Bottom