Ifahamike wazi, wote watakaokubali teuzi za kutumika katika utawala huu, katika ngazi mbalimbali, maana yake ni kwamba wanakubali kuwa ni sehemu ya waovukama wale waliowateua kwenye nafasi hizo.
Maana yake ni kwamba wateule hawa wanaungana na waovu kulitendea taifa lao uovu.
Na kwa maana hiyo, wateule hawa wanakuwa ni maadui wa taifa hili na watastahili kutendewa kama maadui wengine wote.
Mambo haya ni muhimu yawekwe wazi sasa hivi ili pasiwepo na visababu tena huko baadae.
Unapo kubali uteuzi, unakubali kuwa adui wa Tanzania.