Hakuna nchi iliyoendelea kupitia machinga

Kuweka rekodi sawa, Duniani kote hakuna nchi iliyoendelea kupitia MACHINGA, eg. US, UK, UAE, Qatar, Kuwait, Botswana, SA.

1. Hawalipi Kodi,

2. Ni bomu linalosubiri kulipuka kwa usalama wa biashara rasmi na mji kwa ujumla.

NB:
Warasimishe biashara kwa kujiunga vikundi na kuvisajili Kisha wapewe Mikopo
Mkopo utatoa wewe au unafikiri banks ni charity organisations? nakubaliana wafuate sheria za kufanya biashara kama wengine, miji lazima iwe na utaratibu maana huwezi kuwa na watu milion tano halafu wengine wanajiona kama wako juu ya wengine, haki ni haki tuu ingawaje tunaweza kutafuta waiver za hapa na pale kuwapa unafuu maana njaa ikiwazidi matumizi ya usalama yataongezeka, tuwe makini sana na hili...balance is everything
 
Hakuna nchi iliwahi kuendelea kwa kuruhusu soko lake kufurika bidhaa cheap na za kiwango duni kutoka nchi nyingine.

Serikali inatakiwa kubana uangizaji wa bidhaa kutoka nchi zingine huku ikisaidia wazalishaji wa ndani. Nchi zote zimekuza hivyo chumi zao.
hahaha... cheap shit kwa njaa za bongo lazima ziingie tuu,iphone 13 original utawauzia watu wangapi bongo? tecno ya dola kumi lazima iingie tuu hakuna namna, issue ni kuongeza uzalishaji wa ndani ili watu wapate kazi ndio muhimu na kutoharibu fedha za kugeni, bado tunaagiza mafuta ya kula na mchele ni aibu kwelikweli, tuna safari ndefu sana
 
Serikali inatakiwa kufanya haya strategically ili isijezuia bidhaa ambazo haziwezi kutengeneza. Mfano, huwezi zuia simu wakati huwezi kutengeneza. Lakini unaweza kuzuia au kuweka kodi kubwa kwenye vichanio/vitana, nguo za mitumba, tootpick na vikolokolo vingine vingi huku ukisaidia wazalishaji binafsi kuweza kuzalisha vitu hivyo.

Hakuna nchi imewahi kuendelea bila kupitia njia hii, hii habari ya soki huria ni uongo mtupu.
 
Kuweka rekodi sawa, Duniani kote hakuna nchi iliyoendelea kupitia MACHINGA, eg. US, UK, UAE, Qatar, Kuwait, Botswana, SA.

1. Hawalipi Kodi,

2. Ni bomu linalosubiri kulipuka kwa usalama wa biashara rasmi na mji kwa ujumla.

NB:
Warasimishe biashara kwa kujiunga vikundi na kuvisajili Kisha wapewe Mikopo
Tanzania hatuhitaji maendeleo, tunahitaji kuishi tu na maendeleo tutayatengeneza kwa mdomo.
Waliokuwa nyuma yetu kabla ya uhuru leo wako mbele yetu japo tunajisifu tuko mbele yao! Ukweli ni kuwa maisha yetu yamerudi nyuma sana kwani furaha tuliyokuwa nayo miaka ya sitini leo haipo.
 
CCM ndiyo mchawi wetu
 
Kwani kipindi kilichopo ni chepesi? Ugumu umeongezeka mara 10 zaidi
Tunatumia Sera ambazo hazina muelekeo ,swali fikirishi kwanini tunatumia Sera ambazo hazina tija 'why formulate ineffective policies and what is the motive behind '
 
Hakuna nchi iliwahi kuendelea kwa kuruhusu soko lake kufurika bidhaa cheap na za kiwango duni kutoka nchi nyingine.

Serikali inatakiwa kubana uangizaji wa bidhaa kutoka nchi zingine huku ikisaidia wazalishaji wa ndani. Nchi zote zimekuza hivyo chumi zao.
Technically, unakubali wamachinga ni bomu la mav. Likipigwa lazima wote mnukie nnya
 
Tanzania hatuhitaji maendeleo, tunahitaji kuishi tu na maendeleo tutayatengeneza kwa mdomo.
Waliokuwa nyuma yetu kabla ya uhuru leo wako mbele yetu japo tunajisifu tuko mbele yao! Ukweli ni kuwa maisha yetu yamerudi nyuma sana kwani furaha tuliyokuwa nayo miaka ya sitini leo haipo.
Nasikia miaka ya 60 tulikuwa sawa na nchi kama Korea, Turkey etc lakini leo ni kama usiku na mchana, sijui tumekosea wapi?
 
Kuweka rekodi sawa, Duniani kote hakuna nchi iliyoendelea kupitia MACHINGA, eg. US, UK, UAE, Qatar, Kuwait, Botswana, SA.

1. Hawalipi Kodi,

2. Ni bomu linalosubiri kulipuka kwa usalama wa biashara rasmi na mji kwa ujumla.

NB:
Warasimishe biashara kwa kujiunga vikundi na kuvisajili Kisha wapewe Mikopo
Ni kweli lakin hio ndio njia ya wao kujipatia kipato na kuisaidia serikali kupunguza wimbi la umaskini. Pato la taifa ni jumuishi litasomwa tu kwa wastani lakin ni lazima maisha ya kila mtanzania yaakisi pato la wastani la Taifa. Pia kodi si lazima ilipwe mojakwamoja kwa wao kuwa na kipato japo kidogo serikali inatengeza potential kwa wao kulipa kodi sehemu nyingine mfano kupitia vijibiashara vyao vidogo wataweza kumudu pia kulipia umeme majumba kwani wasingekuwa na kipato wangelala tu na giza vibatari vipo na wapo wanaotumia , kupitia umeme kuna tozo pale pia. Ushauri wangu jambo hili liwe ni makubaliano mtu asionewe pia na wao waelewe kincho hitajika.
 
Mkopo utatoa wewe au unafikiri banks ni charity organisations? nakubaliana wafuate sheria za kufanya biashara kama wengine, miji lazima iwe na utaratibu maana huwezi kuwa na watu milion tano halafu wengine wanajiona kama wako juu ya wengine, haki ni haki tuu ingawaje tunaweza kutafuta waiver za hapa na pale kuwapa unafuu maana njaa ikiwazidi matumizi ya usalama yataongezeka, tuwe makini sana na hili...balance is everything
Kwa biashara ya Umachinga huwezi kukopa Benki sio tu kwasababu hutakubaliwa bali pia ni hatari zaidi kumudu unless wewe uwe machinga kivuli ( wale wenye maduka wanaojiita machinga). Katika taasisi yoyote ya fedha mtu anae kopesheka ni kati ya hawa
1. Ana Cash Collateral/ any Collateral Security
2. Ana Umiliki wa Asset which can be valuated
3. Mwajiriwa wa taasis (binafsi/serikali) na ana salary slip za miezi kadhaa ya karibuni
4. Ana referee au mtu aliyekubali kumwekea dhamana na mtu huyo lazima awe na kimoja kati ya hivyo juu

sasa kwa unavyoona Machinga anamudu hayo?
 
Duh
Wawepo kivipi huku wanapewa pesa na serikali kila wiki kama unemployed or kwa video vingine?
 
mtaji mkubwa wa CCM ni hawa vijana, awamu ya tano imefanya ya ajabu sana kuwatumia hawa vijana, kuwajaza ujinga na hatimaye wakawa wanajenga vibanda usiku hata mbele ya frem za biashara za wengine kisa tu eti wana vitambulisho na baba yao kasema wasiguswe.

Hii ni vita ya CCM within, tuwaachie wenyewe - walitengeneza tatizo sasa tuwaache tuone watakavyolitatua !!
 
Hakuna nchi iliwahi kuendelea kwa kuruhusu soko lake kufurika bidhaa cheap na za kiwango duni kutoka nchi nyingine.

Serikali inatakiwa kubana uangizaji wa bidhaa kutoka nchi zingine huku ikisaidia wazalishaji wa ndani. Nchi zote zimekuza hivyo chumi zao.
Nakubaliana na wewe. Ni heri kumvumilia machinga anayeuza mahindi ya kuchoma, miwa, cripsy, karanga, maziwa ya ndani n.k kuliko yule anayezunguka na saa, handkerchief, vehicle accessories (spana, crew driver n.k) vijola n.k kutoka nchi zingine. Hapa usitegemee nchi kukua, tutabaki kutegemea wahisani kutoka ughaibuni.
 
Kuweka rekodi sawa, Duniani kote hakuna nchi iliyoendelea kupitia MACHINGA, eg. US, UK, UAE, Qatar, Kuwait, Botswana, SA.

1. Hawalipi Kodi,

2. Ni bomu linalosubiri kulipuka kwa usalama wa biashara rasmi na mji kwa ujumla.

NB:
Warasimishe biashara kwa kujiunga vikundi na kuvisajili Kisha wapewe Mikopo
Kila kitu siyo lazima waanze wao.
 
Back
Top Bottom