Mkopo utatoa wewe au unafikiri banks ni charity organisations? nakubaliana wafuate sheria za kufanya biashara kama wengine, miji lazima iwe na utaratibu maana huwezi kuwa na watu milion tano halafu wengine wanajiona kama wako juu ya wengine, haki ni haki tuu ingawaje tunaweza kutafuta waiver za hapa na pale kuwapa unafuu maana njaa ikiwazidi matumizi ya usalama yataongezeka, tuwe makini sana na hili...balance is everythingKuweka rekodi sawa, Duniani kote hakuna nchi iliyoendelea kupitia MACHINGA, eg. US, UK, UAE, Qatar, Kuwait, Botswana, SA.
1. Hawalipi Kodi,
2. Ni bomu linalosubiri kulipuka kwa usalama wa biashara rasmi na mji kwa ujumla.
NB:
Warasimishe biashara kwa kujiunga vikundi na kuvisajili Kisha wapewe Mikopo