Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Haiti ndo nchi iliyopata uhuru kimafia kuliko nchi yeyote duniani na mara nyingi huwezi sikia watu au hata mashuleni ikifundishwa
Haiti ilikua inajulikana kama saint-Domingue (sandoming inavyotamkwa kifaransa) lilikua ni koloni la ufaransa ambalo ililichukua kutoka kwa wakoloni wahispania
Haiti ilikuwa ni nchi ya watumwa kama zilivyo nchi nyingi kipindi hiko na kuna mda haiti ilikua ni koloni tajiri kuliko yote kwa sababu ya biashara ya miwa kwa hiyo utumwa ulifanyika sana
Miaka ya 1770's kulikua na vuguvugu la french revolution baadhi ya watu kama Toussaint Louverture walianza kuhoji kwanini wao ni watumwa ilihali french revolution ina advocate usawa kama kauli mbiu yake kubwa hawakupewa majibu yanayoeleweka na gavana wa saint dominique ambayo baadae ilitambulika kama haiti
Mwaka 1793 vuguvugu liloongozwa na Toussaint Louverture liliondoa wazungu wote kwa kuwachinja hatimaye akajitangaza kama gavana wa saint-Domingue (haiti) ambalo lilikua ni kosa kwa sababu kuwa gavana maana yake wewe bado ni sehemu ya ufaransa angetakiwa atangaze uhuru.
Kwa sababu saint-Domingue (haiti) ni bado sehemu ya ufaransa ilikua ni rahisi kwenda kumkamata na kumpeleka jela za ufaransa ila utumwa ulishimamishwa na watu wote wa haiti walipewa uhuru wa ufaransa kama utuliza hali ya hewa na kukawa na malipo kwa kazi za mashambani
Napoleon Bonaparte mtawala kichaa alifanya mapinduzi na kuwa kiongozi wa ufaransa hakuishia hapo bali alirudisha utumwa kwa makoloni yote ya ufaransa ikiwemo saint-Domingue (haiti).
Haiti ikiongozwa na Jean-Jacques Dessaline msaidizi wa Toussaint Louverture kwa umoja wao waliwachinja wazungu wote waliokua haiti walifanikiwa na wakajitangazia uhuru january 1 mwaka 1804
Kwanini haiti ni maskini

- Baada ya uhuru ufaransa waliwataka haiti walipe ela nyingi ili wawatambue
- Marekani haikutaka kuitambua haiti
- Marekani ili-ifanyia uharamia mwingi kwa kupandikiza marais vibaraka
- Marekani ili-sponsor coup detat nying sana hakuna nchi imekua na coup nyingi dunian kama haiti
- Uhuru unapiganiwa au ouombwi