Hakuna nchi iliyopata uhuru ki-ligend kama Haiti (saint-Domingue)

Hakuna nchi iliyopata uhuru ki-ligend kama Haiti (saint-Domingue)

Wewe unasoma historia ya akina nani? Leta sources zako uone kama hakuna wazungu
Endelea kuamini hao wanaokufundisha jinsi ya kufikiri kwa sababu una-uhuru huo unataka source ya nini kama ni msomaji wa historia kuna mambo yapo wazi hulazimishwi kuyaamini
 
Hiyo historia ipo kidato Cha 5&6,hivyo kusema haifundishi shuleni ni upotoshaji.
Kwa mtaala upi na wa mwaka gani? Elimu ya Tanzania ya kipumbavu sana eti unaisoma history za kibwege si Bora kusoma history za ugunduzi na uvumbuzi kisha kufanya vijana wawe creative
 
Endelea kuamini hao wanaokufundisha jinsi ya kufikiri kwa sababu una-uhuru huo unataka source ya nini kama ni msomaji wa historia kuna mambo yapo wazi hulazimishwi kuyaamini
Mbona tena mipasho kama wamama wachoma sambusa. Leta hiyo historia yako nikuonyeshe wazungu walioiandika. Kama unaiota kichwani kwako sema
 
Haieleweki hasa shida yao nini?

Walipata nafasi ya kujitawala wao lakini matokeo yake ikawa ni zaidi ya chaos
Umesahau kuwa hao wa Haiti pia baada ya kukomeshwa utumwa wao mullatoes baadhi nao wakawa slave masters kuwacontroll Black wenzao
 
Ufaransa ndo waliipiga majugu na kuiwekea deni kubwa sana, ile nchi ya haiti madeni ya mashamba ya ukoloni, kama fidia .
 
Back
Top Bottom