Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
- Thread starter
-
- #21
Endela kula matangopori ya wazunguHistoria sio mali yako kwamba unaijua peke yako. Sources zako ni zilezile za kila mmoja anaweza access. Haiti inaharibiwa na Haitians wenyewe, blacksView attachment 3147335
U.s na france wameiviruga sana ile nchiNa kwa kitendo chao inasemekana Wafaransa waliapa kuwa Haiti haitakaa ipate amaniView attachment 3147337
Kwa hiyo ni hasara?Na kwa kitendo chao inasemekana Wafaransa waliapa kuwa Haiti haitakaa ipate amaniView attachment 3147337
Wewe unasoma historia ya akina nani? Leta sources zako uone kama hakuna wazunguEndela kula matangopori ya wazungu
Endelea kuamini hao wanaokufundisha jinsi ya kufikiri kwa sababu una-uhuru huo unataka source ya nini kama ni msomaji wa historia kuna mambo yapo wazi hulazimishwi kuyaaminiWewe unasoma historia ya akina nani? Leta sources zako uone kama hakuna wazungu
Kwa mtaala upi na wa mwaka gani? Elimu ya Tanzania ya kipumbavu sana eti unaisoma history za kibwege si Bora kusoma history za ugunduzi na uvumbuzi kisha kufanya vijana wawe creativeHiyo historia ipo kidato Cha 5&6,hivyo kusema haifundishi shuleni ni upotoshaji.
Mbona tena mipasho kama wamama wachoma sambusa. Leta hiyo historia yako nikuonyeshe wazungu walioiandika. Kama unaiota kichwani kwako semaEndelea kuamini hao wanaokufundisha jinsi ya kufikiri kwa sababu una-uhuru huo unataka source ya nini kama ni msomaji wa historia kuna mambo yapo wazi hulazimishwi kuyaamini
Hapo Unamaanisha Nchi zote za Kiafrica Kuna Matatizo ina Maanisha wazungu ndio Wanaleta Shida hizi Au Ni Akili Mbovu tuu ya Mtu MweusiHistoria sio mali yako kwamba unaijua peke yako. Sources zako ni zilezile za kila mmoja anaweza access. Haiti inaharibiwa na Haitians wenyewe, blacksView attachment 3147335