Hakuna nchi nyepesi kuongoza duniani kama TZ. Sikutegemea Simba kupeleka timu uwanjani leo

Hakuna nchi nyepesi kuongoza duniani kama TZ. Sikutegemea Simba kupeleka timu uwanjani leo

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
5,824
Reaction score
14,757
Imagine Uto leo Wana hamu ya kucheza mechi, TAREHE 15 hamu Yao ilikuwa wapi mpaka wakavaa na Jezi zenye maandishi ya Hatuchezi Ng'oo? BODI ya ligi na TFF hawajatueleza aliyebadilisha Tarehe ni nani? kwa kanuni ipi kwa makubaliano na nani? kwanini bodi ibadilishe Tarehe na kupanga Tarehe mpya Kisha ijiuzulu? kama ilijiuzulu sababu haifai basi haikuwa na mamlaka ya kupanga hata Tarehe hiyo mpya? kwanini bodi ya Ligi haikutangaza MAREFA Wala maafisa wa mchezo kama kanuni zinavyotaka mpaka siku 3 kabla ya June 15 mbona sahizi ya Tarehe 25 wametangaza mapema? Ina maana TFF na BODI ya ligi WALIKUWA tayari Wana mpango wao? Ripoti ya Tarehe 8 mpaka Leo haijatoka na ushahidi tumewapa kwanini TFF na BODI ya ligi hamjaitoa?

Yani kisa mama abduli ndo mpeleke timu uwanjani? Tangu lini serikali ikawa na mandate ya kutoa kauli kwenye mpira ? Viongozi wa Simba tunawaomba mjiuzulu kwa hiari yenu kabla hatujawatimbia hapo Ofisini.
FB_IMG_1750847368984.jpg

WTF.!!
 
Nilichokiona utofauti wa hizi timu mbili ni misimamo

Ile policy ya Simba nguvu moja yanga ndio wanaitumia kikamilifu kuliko hata Simba wenyew, yaan wakiamua wameamua kuazia viongozi mpka mashabiki.
 
Back
Top Bottom