Hakuna nchi yenye uthubutu Dunia hii kama Iran. Wanajivunia nini?

Kwanza kabisa Kihistoria, wa Iran ama Mafursi, ama wapashia ama waajemi ni watu kutoka katika asili ya kuwa taifa kubwa Karne nyingi zilizopita. Ukizungumzia Moja ya watu waliotembelea Pwani ya Afrika Mashariki miaka mia nyingi iliyopita utawakuta wairan hapo.
Wao si waarabu ni kama kusema ni jamii flani ambao si waarabu, si wazungu, si waturuki.
Kumuita muajemi ni mwarabu tusi kubwa.
 
Israel ni simba wa kwenye makaratasi mkuu, jaribu kufikiria mpaka sasa wameshindwa kukomboa mateka wao na Hammas anaendelea kushambulia ndani ya tel aviv.
Ungekuwa mpalestina ningeshauri jambo ila kwa sababu ni mbongo bas sawa.....
 
Hiyo ni mikwala tu hana chochote,unakumbuka mkwala wa Saddam Hussein,alipokomaliwa ikaja kugundulika kuwa ni mwepesi kama karatasi...
Kinachozungumzwa hapa ni UJASIRI WAKE wa kuishambulia Israel 🇮🇱. Yaani pamoja na ukubwa na uwezo wa Kijeshi wa Israel lakini yeye kathubutu. Na hata kama ipo siku Iran itaanguka lakini hiyo historia haitafutika kamwe.

Yaani ni kama leo jinsi Marekani linavyotisha halafu itokee nchi iamue kurusha mabomu kuishambulia ndani ya ardhi yake
 
Kilichompa nguvu Iran ni sawa na nchi zingine zilizotengwa na kinachoitwa Jumuia ya Kimataifa. Iran ilianza kutengwa tokea miaka ya 1950s mpaka Leo bado imetengwa. Matokeo yake imejenga uwezo wa ndani kwa ndani wa kiuchumi na kijeshi.
Hivyo, somo la kujifunza ni kuwa ukiona dunia inakukumbatia na Wewe unaona huwezi kuishi bila dunia ilihali Wewe ni maskini ujue Wewe unaliwa pakubwa na unaifaidisha dunia sio wewe.
Akili kumkichwa
 
Jamaaa zao maji y shingo wanalia lkn wenzao umu JF picha awana awazioni waanaamini wazayun wanashinda hii mbungi sio poaa kwao langi zote zitasomeka
 
Israel ni simba wa kwenye makaratasi mkuu, jaribu kufikiria mpaka sasa wameshindwa kukomboa mateka wao na Hammas anaendelea kushambulia ndani ya tel aviv.
Nyinyi mpo milion 60+ lakini mnashindwa kuwadhibiti watekaji, bila aibu unawashangaa israel, hiyo ni akili au uyuvccm?
 
Nyinyi mpo milion 60+ lakini mnashindwa kuwadhibiti watekaji, bila aibu unawashangaa israel, hiyo ni akili au uyuvccm?
Sasa kama watekaji ndio hao wamepewa kazi ya kujichunguza itawezekana vp
Huoni kama umetoa mfano usioendana
 

Mkuu haukuwa peke yako.

Huku Buza hata wa leo hawaamini!
 
Israel wakianza kujibu kwa kuwafumua wafuasi wa allah msije kulalamika. Allah mwenyewe ameshasema yeye hajawatuma.
 
Iran yupo 100% supported na north korea, china, russia. hayo ni mataifa yaliyo kinyume na US so yanamsaidia Iran kwa kila hali na mali. Iran kwenye teknolohia anawezeshwa na hizo nchi nilizotaja hapo.
Utawala wa Biden umeilegezea sana Iran tofauti na tawala zilizopita na ndo maana Iran ina hofu kubwa sana akiingia Trump watapata shida.
Infact kuna taarifa kuwa kuna intel iran wamekuwa wakizipata baada ya watu ndani ya US intel system kuwageuka wayahudi.
Ila kwa kifupi kwa wanaofuatikia eschatology wanajua kabisa lazima Iran iwe juu sana kiasi cha kufanya maamuzi ya kuivamia Israel ili kuifuta isiwepo duniani tena.
Na uvamizi huo ataufanya akiongozwa na russia.
 
Kinachonishangaza imani ya muIRAN ni thabiti kushinda ya mSAUDIA ambako ndio chimbuko la ISLAMIC RELIGION
ungeanza kwanza kushangaa iman ya kikristo ipo kwa wingi uzunguni kuliko hata israel kwenyewe ambako ndipo chimbuko lilipo
 
Iran ina maadui wengi wenye kumzidi teknologia na silaha advanced kuliko allies/washirika
wake,!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…