Iran yupo 100% supported na north korea, china, russia. hayo ni mataifa yaliyo kinyume na US so yanamsaidia Iran kwa kila hali na mali. Iran kwenye teknolohia anawezeshwa na hizo nchi nilizotaja hapo.
Utawala wa Biden umeilegezea sana Iran tofauti na tawala zilizopita na ndo maana Iran ina hofu kubwa sana akiingia Trump watapata shida.
Infact kuna taarifa kuwa kuna intel iran wamekuwa wakizipata baada ya watu ndani ya US intel system kuwageuka wayahudi.
Ila kwa kifupi kwa wanaofuatikia eschatology wanajua kabisa lazima Iran iwe juu sana kiasi cha kufanya maamuzi ya kuivamia Israel ili kuifuta isiwepo duniani tena.
Na uvamizi huo ataufanya akiongozwa na russia.