Hakuna ndege tamu kusafiria Kama B777, B743 na A380

Ta
Kwa kweli Kama Kuna siku nilienjoy safari ndefu ni siku ambazo nimesafiri na ndege tajwa hapo juu.Jaribu na wewe utaenjoy mno
Tatizo humu watu wanapngea ongea tu ilimradi wameongea ndege bora zaidi ni Airbus A380 ni double deck aircraft na ina engine nne ikikaa angan unaweza ata kudance ukiwa umesimama hamna disturbance ata kidogo pia nyuma ya viti kuna computer kwa kustream video na kuwatch movie
 
Kwa kweli Kama Kuna siku nilienjoy safari ndefu ni siku ambazo nimesafiri na ndege tajwa hapo juu.Jaribu na wewe utaenjoy mno
Hata mkiwa kwenye turbulence huwezi kutambua aisee kwa haraka unforgettable sky cruising Rome to Adis Ababa.
 
Mkuu unajiaibisha, pamoja na kwamba sote tunapaswa kujivunia vya kwetu na kumpongeza mh. Rais kwa ununuzi wa hii dream liner, Ila kiukweli B787-8 itabaki kuwa ndege ndogo kwa boeing triple 7.
 
Raha ya ndege ni time inatua au wakati inapaa ila huko juu ni hakuna chochote zaidi ya mawingu na screen na wahudumu na misosi na manunuzi kama una pesa.

It’s far better hata kusafiri na bus luxury mtaona wanyama mtasimama kula, mtaona mandhari kedekede za kuvutia.

Hata hivyo kwangu Emirates ni habari nyingine kwa ndege nilizowahi kupanda. Kuanzia services zao hadi urembo wa wahudumu.

Ila kiukweli mmenishinda hii tabia ya kumeza sijuia Airbus ngapi ngapi [emoji847][emoji847][emoji847]
 
Hahahahah,totos siyo mkuu?
 
Mkuu unajiaibisha, pamoja na kwamba sote tunapaswa kujivunia vya kwetu na kumpongeza mh. Rais kwa ununuzi wa hii dream liner, Ila kiukweli B787-8 itabaki kuwa ndege ndogo kwa boeing triple 7.
Swala la udogo wa B787-8 sikatai,hebu soma hapa sio maneno yangu hayo "The 777 is a 250 to 400 passenger capacity plane, while 787 is the smaller 200 to 300 class, effectively replacing the 767, albeit slightly larger. The 787 also has longer range and more fuel efficient, thanks to its sophisticated new design"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…