Ta
Tatizo humu watu wanapngea ongea tu ilimradi wameongea ndege bora zaidi ni Airbus A380 ni double deck aircraft na ina engine nne ikikaa angan unaweza ata kudance ukiwa umesimama hamna disturbance ata kidogo pia nyuma ya viti kuna computer kwa kustream video na kuwatch movieKwa kweli Kama Kuna siku nilienjoy safari ndefu ni siku ambazo nimesafiri na ndege tajwa hapo juu.Jaribu na wewe utaenjoy mno