Hakuna nilichofanya mwaka 2025 cha maana, nashukuru tu niko hai

Joined
May 4, 2025
Posts
66
Reaction score
101
Salaam!

Huu mwaka 2025 mwanzoni Januari hali niliona itakua vizuri kutokana na jinsi nilivyokuwa napambana na matokeo napata.

Baada ya Januari, oh ni mambo yalikua sivyo kabisa hadi mwaka unakata saivi huku nikitazama notebook yangu ya malengo, naona kote 0.0%.

Kila nilichofanya, hakuna kilicho-fit malengo.
Sijaenda kokote.

Nikicheki wengine wanaenda tena mbali tu.

Nacho shukuru, ni Uzima, na vile naamini katika Mungu, basi nashukuru kwa hilo.

2025, nitaikumbuka.

Kheri iwepo, 2026 basi hali iwe nzuri zaidi.
 
Nilimwambia mama...mbona Mimi sifanikiwii..mama mbona na akili na vyetii kuliko wao...

Nikaenda kwenye OFISI moja ya UMMA mule ndanii kwenye observation zangu nikagundua wengi nilikua nawazidi maarifa, ufahamu, akili nikasema ooooh goooosh..ilikua zamani sanaaaaaa sanaaaaaa..

Mama akanambia mwanangu ipo siku Yako 😊😁 utasahau yotee hakika utasahau yotee niliona kama siku zimeganda vileee

Nilisoma biblia kitabu cha ZABURI Ina vitabu 150 (chapter 150) nilisoma usiku na mchana na kutafakarii ilinichukua miezii mitatu kumaliza..

Now sio tajiri Wala BOSS ILA NA UWEZO WA KUMPA MAJI MSHIKAJI YEYOTE ALIE NA KIU.
 
Ho

hongera
 
And this is what life is all about brother! 👊🏾
 
Kaka nipo ni jana niliwaza nikuambie kuwa niko jijini kwako hapa ,nimekuja kudai kodi kwenye nyumba ya baba ili nione mwaka unaishaje, ikikupendeza basi tuonane kaka ,pombe sio vitu vya kumnyima mtu kaka
Kaka nipo kaka karibu sana town Mimi nipo posta now ila naenda KUNDUCHI..

Narudi kigamboni jioni...ntakuja inbox tuzungumzee ndugu yangu tupige pige story na tupate moja moto moja baridi
 
Back
Top Bottom