Hakuna nilichofanya mwaka 2025 cha maana, nashukuru tu niko hai

Hakuna nilichofanya mwaka 2025 cha maana, nashukuru tu niko hai

Nimepoteza nyingi sn kwa kuamini watu kumbe watu hao ni mbwa hawatakiwi kupewa vitu vitakatifu watu hao ni nguruwe hawatakiwi kupewa lulu maana watazkanyagakanyaga ksha watarud kukulalua. Kwa upande wa ibada na kuwa mwaminifu kwa MUNGU nimefanya vibaya sn nadhan 1% ni kosa kubwa sn..tajirekebsha 2026. thanks GOD kwa uhai na afya njema.
 
Back
Top Bottom