HuyuMamaminikamwangaliatu
Member
- May 4, 2025
- 66
- 101
Kaka nakuonaaPole sana
hongeraNilimwambia mama...mbona Mimi sifanikiwii..mama mbona na akili na vyetii kuliko wao...
Nikaenda kwenye OFISI moja ya UMMA mule ndanii kwenye observation zangu nikagundua wengi nilikua nawazidi maarifa, ufahamu, akili nikasema ooooh goooosh..ilikua zamani sanaaaaaa sanaaaaaa..
Mama akanambia mwanangu ipo siku Yako ππ utasahau yotee hakika utasahau yotee niliona kama siku zimeganda vileee
Nilisoma biblia kitabu cha ZABURI Ina vitabu 150 (chapter 150) nilisoma usiku na mchana na kutafakarii ilinichukua miezii mitatu kumaliza..
Now sio tajiri Wala BOSS ILA NA UWEZO WA KUMPA MAJI MSHIKAJI YEYOTE ALIE NA KIU.
And this is what life is all about brother! ππΎNilimwambia mama...mbona Mimi sifanikiwii..mama mbona na akili na vyetii kuliko wao...
Nikaenda kwenye OFISI moja ya UMMA mule ndanii kwenye observation zangu nikagundua wengi nilikua nawazidi maarifa, ufahamu, akili nikasema ooooh goooosh..ilikua zamani sanaaaaaa sanaaaaaa..
Mama akanambia mwanangu ipo siku Yako ππ utasahau yotee hakika utasahau yotee niliona kama siku zimeganda vileee
Nilisoma biblia kitabu cha ZABURI Ina vitabu 150 (chapter 150) nilisoma usiku na mchana na kutafakarii ilinichukua miezii mitatu kumaliza..
Now sio tajiri Wala BOSS ILA NA UWEZO WA KUMPA MAJI MSHIKAJI YEYOTE ALIE NA KIU.
Kaka nipo ni jana niliwaza nikuambie kuwa niko jijini kwako hapa ,nimekuja kudai kodi kwenye nyumba ya baba ili nione mwaka unaishaje, ikikupendeza basi tuonane kaka ,pombe sio vitu vya kumnyima mtu kakaKaka nakuonaa
AlaaaaaaaiKaka nipo ni jana niliwaza nikuambie kuwa niko jijini kwako hapa ,nimekuja kudai kodi kwenye nyumba ya baba ili nione mwaka unaishaje, ikikupendeza basi tuonane kaka ,pombe sio vitu vya kumnyima mtu kaka
Usijute sana, muda bado upo
Omba Mungu akufanikishe mwaka 2026
Kila la heri mkuu,
Kaka nipo kaka karibu sana town Mimi nipo posta now ila naenda KUNDUCHI..Kaka nipo ni jana niliwaza nikuambie kuwa niko jijini kwako hapa ,nimekuja kudai kodi kwenye nyumba ya baba ili nione mwaka unaishaje, ikikupendeza basi tuonane kaka ,pombe sio vitu vya kumnyima mtu kaka
Haina shida kakaKaka nipo kaka karibu sana town Mimi nipo posta now ila naenda KUNDUCHI..
Narudi kigamboni jioni...ntakuja inbox tuzungumzee ndugu yangu tupige pige story na tupate moja moto moja baridi
πππππAlaaaaaaai
Asante najua maumivu yanafananaje hasa ukikosa ulicho kipambania maishaniHo
hongera