KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
TayariiiiKaka nipo kaka karibu sana town Mimi nipo posta now ila naenda KUNDUCHI..
Narudi kigamboni jioni...ntakuja inbox tuzungumzee ndugu yangu tupige pige story na tupate moja moto moja baridi
Subir mrejesho mbaya zaidii sina maisha ya kuigiza jamaa ni mshikaji wangu sanaa.Tayariiii
Sawa mwamba, mleweshe mwana..Subir mrejesho mbaya zaidii sina maisha ya kuigiza jamaa ni mshikaji wangu sanaa.
Na picha tutaweka kuwa mpole kwa Sasa..
Amen Mkuu, attitude ninailinda.Daaaaah
Ni wachache sana wanaokiri hii hali...
Nakuona mbali sana mwaka 2026
Amen, shukranUsikate tamaa kijana ipo siku na saa usiyoijui ya kufurahi kwako.
Shukran, kheri tuwe nayo 2026Usijute sana, muda bado upo
Omba Mungu akufanikishe mwaka 2026
Kila la heri mkuu,
Huu mwaka umekua changamoto sana, waliotiki mambo yao ni kheri kwao, sisi tusubiri Mungu ajalie 2026Huu mwaka huu[emoji1787][emoji1787]