Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ukiona sehemu imeandikwa HAKUNA NJIA HAPA. Ujue ni waongo hao walioandika. Njia ipo ila hawataki upite.
Kama hakuna njia hamna sababu ya kuandika. Itaonekana tu kuwa hakuna njia. Why paandikwe? Umewahi mwona mtu anaamua tu kukatiza kichakani na njia ipo? Umewahi mwona mtu anafika ferry kisha anaanza kutembea kuelekea baharini kuvuka kwenda kigamboni?
Sasa pale mbona hapajawekwa bango kuwa hakuna njia? Maana yake pale hapana njia na ndo maana hamna hata anayehangaika napo.
So nikaja gundua ukiona wameandika HAKUNA NJIA HAPA.
1. Ipo hawataki upite
2. Ilikuwepo sasa hawataki uendelee kupita
Otherwise kama hamna njia we mwenyewe tu utaona kuwa hakuna wala huhitaji kuambiwa.