Uchaguzi 2020 Hakuna pingamizi atawekewa mgombea wa CHADEMA

Yule Mzee wa niguse ninuke naona sasa anajinukia tu na kutoa harufu kali kwani kwa mtazamo wa harakaharaka alitaka lisu akatwe ili yeye apate backup. Sasa amegonga mwamba.

Cha kumsaidia labda akamsaidie Maalim seif Zanzibar kupiga kampeni atapata nyomi
 
Naona ma bodyguard wa lisu wapo makini sana endeleeni hivyo hakikisheni hakuna inzi anakatiza mbele ya mgombea wetu kuleta rabsha.
 
Mkuu nilisubiri huku nikiwa nafuatilia youtube live hadi simu ikazima chaji...hapo ndipo nilijaa hofu na mashska[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa wakati mgumu mno
 
Chadema wajipange na kampeni tu sasa. And vile vile waweke pingamizi kwa hawa waliopita bila kupingwa.
.....na Lissu tayari analo pingamizi mkononi vs mgombea urais kupitia CCM.
walio karibu naye wanadai limem compromise mgombea wa CCM vibaya sana.

so, Lissu anasubiri tu awekewe pingamizi na bila kuchelewa naye atawasilisha lake papo kwa papo - ukimwaga mboga namwaga ugali!
 
Majimbo aliyozunguka Lisu kutafuta wadhamini Ni 20 CCM tayari imeshachukua majimbo 22 ambayo wabunge wa CCM wanepita bila kupingwa

Hapo unaweza kuona kuwa ziara zake Ni hopeless sababu Hadi Sasa Hana mbunge kote alikozunguka

Kwani uchaguzi umeshafanyika au na yeye unadhani anatamani hiyo dhuluma ya kuteka watu ili wabunge wake wapite bila kupingwa. Huko ni sawasawa na kujichafua mikono wakati unataka kwenda kula chakula
 
Hii ni akili ya kwenye shimo la choo. Unadhani kila anayekosoa jambo ni mtu wa chama kingine? Wakati patrobas katambi anaunga mkono hoja kila wakati ndani ya CDM mliwahi dhani ni mwana CCM aliyetumwa kuwa chunguza? Huo ni Ubwege sisi wenye akili tunawakosoa mjirekebishe. Nyie mnataka nyimbo za sifa na mapambio tu.

Iliwashinda nini hiyo sayansi ya siasa mkampiga risasi Lisu? Au risasi nayo ni sayansi ya siasa
 
Majimbo aliyozunguka Lisu kutafuta wadhamini Ni 20 CCM tayari imeshachukua majimbo 22 ambayo wabunge wa CCM wanepita bila kupingwa

Hapo unaweza kuona kuwa ziara zake Ni hopeless sababu Hadi Sasa Hana mbunge kote alikozunguka
wamepita bila kupingwa katika mazingira yapi by the way ngoma bado mbichi sana katika mjimbo husika subiri na utaona
 

Kwahiyo huyo waliyemuona miaka mitano unasemaje kuhusu shauku ya kumuonabkwenye kampeni ya siku 60
 
ameniudhi sana na kauli zake nafikili kama chadema wataunganisha nguvu na act basi iwe tu kwa heshima ya seif , mgombea gan wagombea ubunge wa chama chake wanaptwa na kupitia mambo magum hata tamko hatoi
 
Umefafanua vizuri sana.
 
Kaijage kumpanga Lisu wa mwisho inaashiria Nini kiroho??

Pia kumpanga wa mwisho kumepunguza masaa ya pingamizi he hii tuite Ni blessing in disguise??
 
Na ujiandae kisaikolojia wakati wa kutanganzwa matokeo, vinginevyo ....
 
Nami nasisitiza tena,Lissu ni Daudi au Musa wa Tanzania,I mean Daudi na Musa wale wa biblia.Wafuasi,wapenzi na wananchi wote wa Tanzania tunapaswa kumuamini na kujiamini pia.Wamalawi hawakumhofia APM kwa lolote bali waliamini katika nguvu waliyonayo na nguvu ya mgombea wao hiyo ndo njia tunapaswa kuifuata pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…