Uchaguzi 2020 Hakuna pingamizi atawekewa mgombea wa CHADEMA

Kaijage kumpanga Lisu wa mwisho inaashiria Nini kiroho??

Pia kumpanga wa mwisho kumepunguza masaa ya pingamizi he hii tuite Ni blessing in disguise??
Wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza,maana yeye atakaye kujikweza atashushwa na yule atakaye shushwa atakwezwa.Bali yeye hatawafanya muwe mikia tena bali vichwa
 
Majimbo aliyozunguka Lisu kutafuta wadhamini Ni 20 CCM tayari imeshachukua majimbo 22 ambayo wabunge wa CCM wanepita bila kupingwa

Hapo unaweza kuona kuwa ziara zake Ni hopeless sababu Hadi Sasa Hana mbunge kote alikozunguka
Kwani alikuwa anatafuta udhamini wa kugombea urais au kura za wabunge. Hujaeleweka happy mkuu
 
We will accept nothing except free and fair election
So then? Ndo mtapeleka watu barabarani? Sio kwa wantazania hawa, muulize Mange Kimambi, mtandaoni watakutia moyo ikifika siku ya siku watakufurahisha.
 
Kaijage kumpanga Lisu wa mwisho inaashiria Nini kiroho??

Pia kumpanga wa mwisho kumepunguza masaa ya pingamizi he hii tuite Ni blessing in disguise??
Kuna nguvu iliyo juu kimamlaka inayofanya kazi nje ya utashi wetu
 
Majimbo aliyozunguka Lisu kutafuta wadhamini Ni 20 CCM tayari imeshachukua majimbo 22 ambayo wabunge wa CCM wanepita bila kupingwa

Hapo unaweza kuona kuwa ziara zake Ni hopeless sababu Hadi Sasa Hana mbunge kote alikozunguka
Tumia akili badala ya hisia za chuki, uongo, uzandiki na ukasuku
 
Tumia akili badala ya hisia za chuki, uongo, uzandiki na ukasuku
Lisu kuzunguka kote kule hajapata hata mbunge mmoja wa kupita bila kupingwa na anadanganya wazungu kuwa Hakuna chama kinapendwa Kama Chadema na yeye
 
Majimbo aliyozunguka Lisu kutafuta wadhamini Ni 20 CCM tayari imeshachukua majimbo 22 ambayo wabunge wa CCM wanepita bila kupingwa

Hapo unaweza kuona kuwa ziara zake Ni hopeless sababu Hadi Sasa Hana mbunge kote alikozunguka
Hakuna kupita bila kupingwa , Tulia tulizana
 
HAKUNA Pingamizi kwa Mgombea wa Chadema
HAKUNA atakayezuiwa kufanya kampeni kwa UHURU
HAKUNA Mgombea wa upinzani atakayekamatwa au kufungwa
HAKUNA Mgombea wa upinzani atakayepatwa na mabaya yeyote

Ila Mshindi wa URAIS, Ubunge na Udiwani ni CCM
Unaota? Amuka.
 
Hivi huwa ukiandika unafikiri kweli au unaandika tu almradi uonekane umeandika!?
Majimbo aliyozunguka Lisu kutafuta wadhamini Ni 20 CCM tayari imeshachukua majimbo 22 ambayo wabunge wa CCM wanepita bila kupingwa

Hapo unaweza kuona kuwa ziara zake Ni hopeless sababu Hadi Sasa Hana mbunge kote alikozunguka
Hawa ndio wale wanapigwa mateke jukwaani hawajielewi
 
Hizo amri wapelekee wanao wanaokutemegemea kula kulala au na wewe kula kulala manake hujiamini
Utajua hujui habari ndio mzee hebu muangalie vizuri mister president wako kubali yaishe mzee ndio Rais wako huyu
 
Kwanini wapite bila kupingwa, ccm wanaogopa uchaguzi? Hili halikubaliki, tunawanyima wananchi haki yao
Huu ni mpngo mkubwa sana kukwepa gharama za uchaguzi ili pasiwe na çhaguzi sehemu nyingi ndiyo maana hàpahitajiki fedha nyingi kuendesha uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…