Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza,maana yeye atakaye kujikweza atashushwa na yule atakaye shushwa atakwezwa.Bali yeye hatawafanya muwe mikia tena bali vichwaKaijage kumpanga Lisu wa mwisho inaashiria Nini kiroho??
Pia kumpanga wa mwisho kumepunguza masaa ya pingamizi he hii tuite Ni blessing in disguise??