KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Wakuu habari Yenu. Nimeishi tangu Enzi za rais mwinyi mpaka Sasa. Hakuna rais mwenye endorsement na chawa wengi kama mama.
Mi Nahisi mama kwasababu ana sapoti ya Kila Kundi Kwenye jamii ARUHUSU tu TUME HURU YA UCHAGUZI NA REFORMS AMBAZO CHADEMA WANATAKA atawashinda tu hao Wala asiogope. hata mwenda Zake hakuwa pata endorsement kama hii Hadi UMOJA WA WATU WAFUPI TANZANIA mi sijawahi sikia ndo leo.
Mama weka tume huru ya uchaguzi utashuhudia jinsi unavyoshinda na kupita Kwa kishindo Cha wakoma.
Asomaye na afahamu.
Ijumaa kuu hapo kesho wakurungwa.