KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Wizi wa kura ndio njia ya uhakika zaidi kupata ushindi. Mazowea hayo yanafuta kujiamini kuwa unaweza kushinda kukiwa na tume na uchaguzi huru. Ndio maana piga ua hawataki sheria zisizo na upendeleo. Ukiwakosoa unapewa kesi ya uhaini...hivi Mama hapendi HAKI??.. na mfungo c umeisha juzi tu?
Ohoo ! Wao ccm wanasema Sumu haionjwi kwa ulimiWakuu habari Yenu. Nimeishi tangu Enzi za rais mwinyi mpaka Sasa. Hakuna rais mwenye endorsement na chawa wengi kama mama.
Mi Nahisi mama kwasababu ana sapoti ya Kila Kundi Kwenye jamii ARUHUSU tu TUME HURU YA UCHAGUZI NA REFORMS AMBAZO CHADEMA WANATAKA atawashinda tu hao Wala asiogope. hata mwenda Zake hakuwa pata endorsement kama hii Hadi UMOJA WA WATU WAFUPI TANZANIA mi sijawahi sikia ndo leo.
Mama weka tume huru ya uchaguzi utashuhudia jinsi unavyoshinda na kupita Kwa kishindo Cha wakoma.
Asomaye na afahamu.
Ijumaa kuu hapo kesho wakurungwa.View attachment 3307416
..hivi Mama hapendi HAKI??.. na mfungo c umeisha
SALAMU ZA WAZI KWA WATANZANIA WOTE LZM TUKUBALI KUUMIA ILI TUING'OE CCM MADARAKANI NA KULETA UTARATIBU MPYA WA KUPATA VIONGOZI NDANI YA NCHI YETU MAANA kama ni kuibiwa kura ndio kazi PEKEE ya CCM.NO REFORMS NO ELECTION ndio jibu PEKEE la wezi wa uchaguzi.Wakuu habari Yenu. Nimeishi tangu Enzi za rais mwinyi mpaka Sasa. Hakuna rais mwenye endorsement na chawa wengi kama mama.
Mi Nahisi mama kwasababu ana sapoti ya Kila Kundi Kwenye jamii ARUHUSU tu TUME HURU YA UCHAGUZI NA REFORMS AMBAZO CHADEMA WANATAKA atawashinda tu hao Wala asiogope. hata mwenda Zake hakuwa pata endorsement kama hii Hadi UMOJA WA WATU WAFUPI TANZANIA mi sijawahi sikia ndo leo.
Mama weka tume huru ya uchaguzi utashuhudia jinsi unavyoshinda na kupita Kwa kishindo Cha wakoma.
Asomaye na afahamu.
Ijumaa kuu hapo kesho wakurungwa.View attachment 3307416
Haaa😁😁😁 huyo hakubaliki hataWakuu habari Yenu. Nimeishi tangu Enzi za rais mwinyi mpaka Sasa. Hakuna rais mwenye endorsement na chawa wengi kama mama.
Mi Nahisi mama kwasababu ana sapoti ya Kila Kundi Kwenye jamii ARUHUSU tu TUME HURU YA UCHAGUZI NA REFORMS AMBAZO CHADEMA WANATAKA atawashinda tu hao Wala asiogope. hata mwenda Zake hakuwa pata endorsement kama hii Hadi UMOJA WA WATU WAFUPI TANZANIA mi sijawahi sikia ndo leo.
Mama weka tume huru ya uchaguzi utashuhudia jinsi unavyoshinda na kupita Kwa kishindo Cha wakoma.
Asomaye na afahamu.
Ijumaa kuu hapo kesho wakurungwa.View attachment 3307416
Naunga mkono hoja Pre GE2025 - LGE2024 - Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!tangu Enzi za rais mwinyi mpaka Sasa. Hakuna rais mwenye endorsement kama mama.
Mama kwasababu ana sapoti ya Kila Kundi Kwenye jamii ARUHUSU tu TUME HURU YA UCHAGUZI NA REFORMS AMBAZO WANATAKA atashinda
Si tayari kairuhusu kuwa huru,huoni siku hizi inaitwa INEC?. Inji hii🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wakuu habari Yenu. Nimeishi tangu Enzi za rais mwinyi mpaka Sasa. Hakuna rais mwenye endorsement na chawa wengi kama mama.
Mi Nahisi mama kwasababu ana sapoti ya Kila Kundi Kwenye jamii ARUHUSU tu TUME HURU YA UCHAGUZI NA REFORMS AMBAZO CHADEMA WANATAKA atawashinda tu hao Wala asiogope. hata mwenda Zake hakuwa pata endorsement kama hii Hadi UMOJA WA WATU WAFUPI TANZANIA mi sijawahi sikia ndo leo.
Mama weka tume huru ya uchaguzi utashuhudia jinsi unavyoshinda na kupita Kwa kishindo Cha wakoma.
Asomaye na afahamu.
Ijumaa kuu hapo kesho wakurungwa.View attachment 3307416
Asante brother Pascal. Maandiko Yako Mengi SIKU si nyingi yataenda kutimia naona kiu Yako ya haki Kupitia kalamu zako ikizaa Matunda chanya
Amen!.Asante brother Pascal. Maandiko Yako Mengi SIKU si nyingi yataenda kutimia naona kiu Yako ya haki Kupitia kalamu zako ikizaa Matunda chanya