Before today nilikuwa naiheshimu ID yako... Nadhani nilikuwa wrong sana.Gentleman,
mzee ana hoja gani sasa hata watu wapoteze muda kumjibu zaid ya mawenge na makasiriko yake dhidi ya serikali sikivu ya CCM?🤣
Huu upuuzi usingekuwepo hapa leo endapo kimoja wapo katika hivi hapa chini kingefanywa;Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Huu upuuzi usingekuwepo hapa leo endapo kimoja wapo katika hivi hapa chini kingefanywa;Gentleman,
hakuna sababu wala haja ya kukimbia au kumshambulia mtu yeyote ndani ya nchi yetu ya amani na umoja Tanzania.
kuelezana ukweli ni jambo muhimu sana la kizalendo dhidi ya unafiki wa mtu aliekua hadi na hadhi ya uwaziri mkuu, eti leo ana bwekabweka huko uchochoroni dhidi ya serikali sikivu ya CCM ambayo yeye pia alikua na nafasi nzuri mno ya kurekebisha unafiki anao mbwelambwela nao sasaivi ,
mawenge ya uzeeni ni mabaya sana 🐒
Jifunze kujadili HOJA za mtu kijana usimshabulie mtu sababu at the end wewe ndiyo utaonekana dhaifu.Ungekuwa na akili ningekujibu
Kuna tribunals za kimataifa zinaweza kumteua mtu kuwa jaji katika tribunals hizo, ndivyo ilivyokuwa kwa Warioba. Katika utaratibu huu Rais wa nchi hahusiki katika uteuzi wa jajiKatika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Yani wewe unamnanga warioba na hicho form 4 chako cha div 0 kweli huna akiliKatika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Na hoja kuhusu udhaifu mkubwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uta google au hiyo unamwachia mchengerwa?Jibu hilo hapo:
Mnamo 1985, alikua Waziri Mkuu na, wakati huo huo, Makamu wa Pili wa Rais hadi 1990. Baada ya muda wake kama waziri mkuu, aliteuliwa kuwa jaji katika Mahakama ya Kimataifa ya Sheria ya Bahari yenye makao yake makuu mjini Hamburg. (ITLOS).
Uliza swali lingine
Naona ZANZI imekupalia na inatokea mapuani 🤧🤧Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Sidhani kama ujaji wake unatuhusu zaidi ya uzito, ukweli na uwazi wa hoja zake. Je katiba inaruhusu jeshi lolote kujihusisha na siasa ?. Je, wagombea walienguliwa kivyama ? Je palikuwa na kasoro kwenye taratibu za uchaguzi wa SM ?Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Akikujibu ni TAG.Ni haki gani wanaotaka wasikosolewe wakati wanawatuma mbumbumbu kumshambulia Jaji Sinde Warioba?
Acheni uvivu vijana....information zipo kwenye finger tips zenu....just google, soma utajua!
Hajawahi kuwa
🤣🤣🤣Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Mimi Chadema, sio CCM, nitake radhi🤣🤣🤣
Yaani We bwege tu unamiliki kadi ya CCM tu, tena kadi yenyewe ulipewa, hukuwahi kununua au kulipia ada, Unajifanya unamjua sana Mzee Jaji Joseph Sinde Warioba ???
Hebu kaa na uchawa na ufala wako huko
Kwenye reply yangu nilikoweka CCM weka CHADEMA basiMimi Chadema, sio CCM, nitake radhi