Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Huu upuuzi usingekuwepo hapa leo endapo kimoja wapo katika hivi hapa chini kingefanywa;

1. P2 ingetumika

2. Kondomu ingetumika

3. Manii zingemwagwa nje

4. Mimba ingetolewa

Alamsiki..!!
 
Gentleman,
hakuna sababu wala haja ya kukimbia au kumshambulia mtu yeyote ndani ya nchi yetu ya amani na umoja Tanzania.

kuelezana ukweli ni jambo muhimu sana la kizalendo dhidi ya unafiki wa mtu aliekua hadi na hadhi ya uwaziri mkuu, eti leo ana bwekabweka huko uchochoroni dhidi ya serikali sikivu ya CCM ambayo yeye pia alikua na nafasi nzuri mno ya kurekebisha unafiki anao mbwelambwela nao sasaivi ,

mawenge ya uzeeni ni mabaya sana 🐒
Huu upuuzi usingekuwepo hapa leo endapo kimoja wapo katika hivi hapa chini kingefanywa;

1. P2 ingetumika

2. Kondomu ingetumika

3. Manii zingemwagwa nje

4. Mimba ingetolewa

Alamsiki..!!
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Kuna tribunals za kimataifa zinaweza kumteua mtu kuwa jaji katika tribunals hizo, ndivyo ilivyokuwa kwa Warioba. Katika utaratibu huu Rais wa nchi hahusiki katika uteuzi wa jaji
 
Weka hukumu yake hata moja
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Yani wewe unamnanga warioba na hicho form 4 chako cha div 0 kweli huna akili
 
Jibu hilo hapo:

Mnamo 1985, alikua Waziri Mkuu na, wakati huo huo, Makamu wa Pili wa Rais hadi 1990. Baada ya muda wake kama waziri mkuu, aliteuliwa kuwa jaji katika Mahakama ya Kimataifa ya Sheria ya Bahari yenye makao yake makuu mjini Hamburg. (ITLOS).

Uliza swali lingine
Na hoja kuhusu udhaifu mkubwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uta google au hiyo unamwachia mchengerwa?
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Naona ZANZI imekupalia na inatokea mapuani 🤧🤧
 
Sidhani kama ujaji wake unatuhusu zaidi ya uzito, ukweli na uwazi wa hoja zake. Je katiba inaruhusu jeshi lolote kujihusisha na siasa ?. Je, wagombea walienguliwa kivyama ? Je palikuwa na kasoro kwenye taratibu za uchaguzi wa SM ?
 
Hajawahi kuwa
1000272229.jpg
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
🤣🤣🤣
Yaani We bwege tu unamiliki kadi ya CCM tu, tena kadi yenyewe ulipewa, hukuwahi kununua au kulipia ada, Unajifanya unamjua sana Mzee Jaji Joseph Sinde Warioba ???

Hebu kaa na uchawa na ufala wako huko
 
Mimi Chadema, sio CCM, nitake radhi
 
Back
Top Bottom