Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Na hiyo ndiyo chanzo cha makasiroko ya waliomkasirikia, kaongea ukweli kinyume na matarajio ya waliozoea kusema uongo!hapa

Na hiyo ndiyo chanzo cha makasiroko ya waliomkasirikia, kaongea ukweli kinyume na matarajio ya waliozoea kusema uongo!
Mkuu ndan ya chama CHAWA wameumia kishenzi ukwel unauma ,, MZEE nondo sanaaaa
 
Mmeanza kutoka vichakani na ujinga wenu.
 
Tanzania Mpya inaenda kupatikana 2025, Mungu ataenda kufanya maamuzi magumu na ya manufaa kwa Nchi ya Tanzania.
 
hii changamoto sasa, usijekuta cheti chake cha darasa la saba ni chakugushi
 
Kuwa UVCCM haimaanishi kwamba usiwe na akili.
"Warioba served as a judge on the Hamburg, Germany-based International Tribunal for the Law of the Sea from 1996 to 1999".
Unajaribu kuifuta hiyo record?? Bwege wewe
huo ni ujaji tu kama wa BSS,
 
Kwanini tunapotezq muda na vitu vya kipuuzi. Kwani hakuna Jaji wa heshima?

Kama kuna Dokta wa heshima hakukaa darasani wala kufanya research basi Warioba pia ni Jaji wa heshima

Tusichoshane
 
kwahiyo hakuwahi kuhudumu kama judge wa mahakama kuu, huo ndio ukweli,
 
Kwanini tunapotezq muda na vitu vya kipuuzi. Kwani hakuna Jaji wa heshima?

Kama kuna Dokta wa heshima hakukaa darasani wala kufanya research basi Warioba pia ni Jaji wa heshima

Tusichoshane
si mpaka ateuliwe, tusipolitizama hili kuna siku gwajima au musukuma atajiita judge
 
Hebu na wewe ana
Ebu tueleze, kwann anaitwa jaji ,ujaji kaupataje? Kwamba kajipachika tu kweli!?kwann ukusema miaka yote
Hebu na wewe anza kujiita jaji kama ni rahisi, labda jaji wa BSS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…