Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
achana na hao wa Musoma tunataka utueleze kwanini anaitwa Jaji Sinde Warioba?Hata ukerewe na majita Musoma kuna watu wengi wanajiita "Jaji"
Hata kama hujisheshimu basi waheshimu wazee!Siku hiyo mlikanunulia whisky?
Na hiyo ndiyo chanzo cha makasiroko ya waliomkasirikia, kaongea ukweli kinyume na matarajio ya waliozoea kusema uongo!Ila juz kaharibu kinoma ,,, kwanini aongee ukweliiiiii??
Na hiyo ndiyo chanzo cha makasiroko ya waliomkasirikia, kaongea ukweli kinyume na matarajio ya waliozoea kusema uongo!hapa
Mkuu ndan ya chama CHAWA wameumia kishenzi ukwel unauma ,, MZEE nondo sanaaaaNa hiyo ndiyo chanzo cha makasiroko ya waliomkasirikia, kaongea ukweli kinyume na matarajio ya waliozoea kusema uongo!
Mmeanza kutoka vichakani na ujinga wenu.Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Nilichogundua Chiembe ni muelewa Sana,ila anafurahi kuona uzi wake unajibiwa na wengi.hiyo tu kumjibu au kumquote UWT huyu anaona Raha.Ujaji wa kuunga unga?
Jaji Joseph Sinde Warioba..Jaji Warioba
hii changamoto sasa, usijekuta cheti chake cha darasa la saba ni chakugushiInasaidia nini questioning about his credentials now?
Judge Warioba aliandaa rasimu ya katiba mkimuita Judge.
Leo anaulixa credibility ya matendo yasioeleweka ndani ya kuendesha mambo ya watanzania, wajinga wanasema sio Judge.
Najua wengine watasema sio raia😂😂😂😍😍
huo ni ujaji tu kama wa BSS,Kuwa UVCCM haimaanishi kwamba usiwe na akili.
"Warioba served as a judge on the Hamburg, Germany-based International Tribunal for the Law of the Sea from 1996 to 1999".
Unajaribu kuifuta hiyo record?? Bwege wewe
atakuwa kamisaa tu kama wa ngumi, au BSSEbu tueleze, kwann anaitwa jaji ,ujaji kaupataje? Kwamba kajipachika tu kweli!?kwann ukusema miaka yote
Kwanini tunapotezq muda na vitu vya kipuuzi. Kwani hakuna Jaji wa heshima?Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Josekph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
kwahiyo hakuwahi kuhudumu kama judge wa mahakama kuu, huo ndio ukweli,Jibu hilo hapo:
Mnamo 1985, alikua Waziri Mkuu na, wakati huo huo, Makamu wa Pili wa Rais hadi 1990. Baada ya muda wake kama waziri mkuu, aliteuliwa kuwa jaji katika Mahakama ya Kimataifa ya Sheria ya Bahari yenye makao yake makuu mjini Hamburg. (ITLOS).
Uliza swali lingine
si mpaka ateuliwe, tusipolitizama hili kuna siku gwajima au musukuma atajiita judgeKwanini tunapotezq muda na vitu vya kipuuzi. Kwani hakuna Jaji wa heshima?
Kama kuna Dokta wa heshima hakukaa darasani wala kufanya research basi Warioba pia ni Jaji wa heshima
Tusichoshane
Hebu na wewe anaKatika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Hebu na wewe anza kujiita jaji kama ni rahisi, labda jaji wa BSSEbu tueleze, kwann anaitwa jaji ,ujaji kaupataje? Kwamba kajipachika tu kweli!?kwann ukusema miaka yote