Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Shida nini? kukosoa uchafuzi wa sikali za mitaa?
 
Angeluwa mjanja mjanja asingechaguliwa katika nyadhifa alizowahi kushika.
Not you chawa kati yenu mwenye heavy CV kama yake, hamna hata hadhi ya kufuta viatu vyake
Jibuni hoja zake badala ya kumshambulia mtu
 
Angeluwa mjanja mjanja asingechaguliwa katika nyadhifa alizowahi kushika.
Not you chawa kati yenu mwenye heavy CV kama yake, hamna hata hadhi ya kufuta viatu vyake
Jibuni hoja zake badala ya kumshambulia mtu
acha upotoshaji gentleman,

ana hoja au gubu, hata watu wapoteze muda wao kubabaika nae? alaaa🐒
 
Jaji warioba kapiga kwenye mshono, machawa wanarukaruka tu
 
Hoja si gubu, kwa sasa ni retired hana haja ya vyeo, wala chochote.
So punguzeni kushambulia mtu, shambukia hoja kenge wahed
tuliza mihemko ya kinyumbu gentleman,

nadhan kama taifa hakuna haja ya kubabaika na zee linalojifanya gen z.

tuanze maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Oct 2025🐒
 
Wapumbavu Mmeanza! Taja mahakama na hukumu za jaji Mutungi basi ambaye ndiye Bora kwako
 
Hii pdf document ya International Tribunal for the Law of the Sea imemtaja Joseph Sinde Warioba kama mmoja wa majaji wa tribunal hiyo.

Wanaomuita Jaji hawajamuita Jaji wa mahakama ya Tanzania. What is your point? Kwamba mtu hawezi kuwa jaji mpaka awe jaji wa mahakama ya Tanzania?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…