Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Chawa nene lililovimbiana limeanza yake.
 
Hivi hivi wengine walimvunjia heshima ubungo
 
Sasa katika baraza la kimataifa la utatuzi wa migogoro ya bahari wanakaa majaji kuamua kesi za migogoro ya bahari maana yake yeye Warioba ni Jaji.
 
Jaji=Babu.

Badala la kujibu HOJA, unangangania kupingana na Mh Rais Kikwete aliyemteua Judge Warioba kama mtu pekee mahiri aliyebobea kuongoza mchakato wa Katiba mpya.
Si hivyo tu hata hiyo Takukuru ambayo inawalea CCM na kuongoza kwa Rushwa ambayo ilikua iwe chombo Bora kupambana na Rushwa ilitokana na tume ya JAJI WARIOBA. Haya majitu hayafai kuwa sehemu ya Tanzania
 
Aisee. That’s KIU professor in servile bliss.
 
Mzee Warioba amekemea uhuni wa jeshi la polisi kutumika kisiasa na CCM hadi likaitwa PoliCCM.

Mimi naungana na mzee Warioba maana amesimamia ile ahadi ya mwanaccm "Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko"

Nyie kunguni wa mama endeleeni kupokea maelekezo ya kumjibu ila ukweli umewafikia.

Mzee amejitokeza mbele kukemea uovu najua mtamtumia wahuni tena wamdhuru kama yule muhuni aliyepaswa kuwepo gerezani ila mmempa ukuu wa mkoa.

Warioba ni msomi , usifikiri ni sawa na huyo mama yenu mwenye udaktari wa kupewa kila kukicha huku ikiwa inajulikana rekodi yake kitaaluma ni mbovu.
 
Mbona hauhoji huyo anayeitwa dr samia wakati hana hata degree moja
 

This is the fallacy of 'argumentum ad ignorantiam' (argument from ignorance). Kutoteuliwa na Rais katika historia ya nchi hii au kutowahi kusoma hukumu yake si ushahidi kwamba mtu si Jaji au hajawahi kuteuliwa kuwa Jaji. Nina ushahidi huu na ningetaka u'dissapprove':
1) Attorney General (1976-1983)
2) Minister for Justice (1983-1985)
3) Prime Minister (1985-1990)
4) Judge on the International Tribunal for the Law of the Sea (1996-1999)
5) Judge at the East African Court of Justice (2001-2006).
 
Hajawahi kuwa

Ofisi ya makamo wa rais inasema amewahi kua jaji wa mahakama ya masuala ya bahari kuanzia 1996 hadi 1996.
 
Huyo sio Jaji, full stop, vinginevyo na Master Jay na yeye ajiite Jaji kisa tu amekaa katika jopo la Bongo Star search

Hata kama sio Jaji inakusaidia nini wewe na mimi? Haya ni maneno ya mkosaji. Maana maneno yako hayatabadili chochote.

Nakushauri katafute biriani au pilau, ule ushibe ukatoe mashuzi. Jioni tafute mzinga wa K Vant ukalale zako. Kuna watu hutaweza kupambana nao ukashinda, mark my words
 
Kwani kuchaguliwa kuwa jaji ni sifa ya maana sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…