Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Itoshe kusema ujinga wako ni wa kurithi! Laumu familia yako!Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Na itakuwa hii nnchi ni kichwa cha mwendawazimu mtu afikie mpaka kuwa waziri mkuu halafu sio raiaInasaidia nini questioning about his credentials now?
Judge Warioba aliandaa rasimu ya katiba mkimuita Judge.
Leo anaulixa credibility ya matendo yasioeleweka ndani ya kuendesha mambo ya watanzania, wajinga wanasema sio Judge.
Najua wengine watasema sio raiaπππππ
Atakuambia hata COMMONWEALTH haipo!Ujaji wa Warioba ni wa Kimataifa. Ni Jaji wa Commonwealth ...!!
Uyu mzee wamfaham vizuri? PumbavuKatika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Pengine alikuwa bado hata hajazaliwa.Ameanza kuitwa jaji wakati wewe bado unalamba makamasi chekechea.
Jibuni hoja za Warioba acheni vihoja.
Its the diversion tactic to shift attention to unrelated point (personal attack) to avoid addressing the actual issue.Ad hominem logical fallacy.
Badala ya kumchafua Warioba kwa siasa za majitaka, ndiyo wanazidi kukumbushia na kuwekea uzito maneno aliyosema.Its the diversion tactic to shift attention to unrelated point (personal attack) to avoid addressing the actual issue.
They think they are better on everything but they are dumb.
They need to counter his argument positively and intelligently.
Umeona ee!Badala ya kumchafua Warioba kwa siasa za majitaka, ndiyo wanazidi kukumbushia na kuwekea uzito maneno aliyosema.
Sometimes Africans we shoot ourselves in the foot deliberately.Badala ya kumchafua Warioba kwa siasa za majitaka, ndiyo wanazidi kukumbushia na kuwekea uzito maneno aliyosema.
Unaifahamu kampuni ya warioba iliyoitwa Mwananchi Gold na jinsi ilivyotapeli dhahabu Benki KuuSometimes Africans we shoot ourselves in the foot deliberately.
Judge Warioba is the top man, with integrity and is former prime minister.
He has the duty to say something and listen to, attentively.
SawaNatunza mbegu
ujaji autoe wapi yule Mzee, hiyo ilikua ni a.k.a yake tu mtaani,
ni mjanja mnjanja tu,
ndio maana eti katika uzee ule, nae anajifanya ni Gen z, dah π
kuzeeka kwingine ni vioja sana.
baada ya kushindwa vibaya uchaguzi mkuu kule bunda miaka ile, huyu Mzee alipata mawenge sana na akapoteza ramani kabisa, ndipo sasa hayati Baba wa Taifa J.K.Nyerere akamuokota jalalani baada ya kudhalilika sana mtaani na akamrudisha relini kwabkumteua serikalini...
sasa sijui mawenge ameyatolea wapi saivi hadi awe na gubu kiasi hiki dhidi ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania wote DR Samia Suluhu Hassan?
Why mnakimbilia kushambulia watu badala ya kujibu hoja za watu?ujaji autoe wapi yule Mzee, hiyo ilikua ni a.k.a yake tu mtaani,
ni mjanja mnjanja tu,
ndio maana eti katika uzee ule, nae anajifanya ni Gen z, dah π
kuzeeka kwingine ni vioja sana.
baada ya kushindwa vibaya uchaguzi mkuu kule bunda miaka ile, huyu Mzee alipata mawenge sana na akapoteza ramani kabisa, ndipo sasa hayati Baba wa Taifa J.K.Nyerere akamuokota jalalani baada ya kudhalilika sana mtaani na akamrudisha relini kwabkumteua serikalini...
sasa sijui mawenge ameyatolea wapi saivi hadi awe na gubu kiasi hiki dhidi ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania wote DR Samia Suluhu Hassan?π
Ili hoja yako ionekana ina mashiko, ongezea na hizi hapa:Unaifahamu kampuni ya warioba iliyoitwa Mwananchi Gold na jinsi ilivyotapeli dhahabu Benki Kuu
Na bado wana vyeo vikubwa tu Tz hii.Hivi hivi wengine walimvunjia heshima ubungo
Mjipange mjibu hoja za Warioba alozitoa msihamishe magoli mwaonekana ni wajinga.Unaifahamu kampuni ya warioba iliyoitwa Mwananchi Gold na jinsi ilivyotapeli dhahabu Benki Kuu