Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Itoshe kusema ujinga wako ni wa kurithi! Laumu familia yako!
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.

Ujaji wa Warioba ni wa Kimataifa. Ni Jaji wa Commonwealth ...!!
 
Inasaidia nini questioning about his credentials now?

Judge Warioba aliandaa rasimu ya katiba mkimuita Judge.

Leo anaulixa credibility ya matendo yasioeleweka ndani ya kuendesha mambo ya watanzania, wajinga wanasema sio Judge.

Najua wengine watasema sio raia😂😂😂😍😍
Na itakuwa hii nnchi ni kichwa cha mwendawazimu mtu afikie mpaka kuwa waziri mkuu halafu sio raia
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Uyu mzee wamfaham vizuri? Pumbavu
Acha ujua uyu ni waziri mkuu mstaafu, achilia mbali kuwa jaji
 
Ad hominem logical fallacy.
Its the diversion tactic to shift attention to unrelated point (personal attack) to avoid addressing the actual issue.

The issue is the governing party CCM was not up to no good with the past local elections and forthcoming one in 2025.

They think they are better on everything but they are dumb.

They need to counter his argument positively and intelligently.
 
Its the diversion tactic to shift attention to unrelated point (personal attack) to avoid addressing the actual issue.

They think they are better on everything but they are dumb.

They need to counter his argument positively and intelligently.
Badala ya kumchafua Warioba kwa siasa za majitaka, ndiyo wanazidi kukumbushia na kuwekea uzito maneno aliyosema.

Yani hata kama kuna watu waliona maneno ya Warioba ni ya kawaida, wameanza kuyasahau,hizi threads zinakumbushia na zinaonesha maneno yanawasumbua.
 
Badala ya kumchafua Warioba kwa siasa za majitaka, ndiyo wanazidi kukumbushia na kuwekea uzito maneno aliyosema.
Sometimes Africans we shoot ourselves in the foot deliberately.

Judge Warioba is the top man, with integrity and is former prime minister.

He has the duty to say something and listen to, attentively.
 
Unaifahamu kampuni ya warioba iliyoitwa Mwananchi Gold na jinsi ilivyotapeli dhahabu Benki Kuu
 
ujaji autoe wapi yule Mzee, hiyo ilikua ni a.k.a yake tu mtaani,

ni mjanja mnjanja tu,
ndio maana eti katika uzee ule, nae anajifanya ni Gen z, dah 🐒

kuzeeka kwingine ni vioja sana.

baada ya kushindwa vibaya uchaguzi mkuu kule bunda miaka ile, huyu Mzee alipata mawenge sana na akapoteza ramani kabisa, ndipo sasa hayati Baba wa Taifa J.K.Nyerere akamuokota jalalani baada ya kudhalilika sana mtaani na akamrudisha relini kwabkumteua serikalini...

sasa sijui mawenge ameyatolea wapi saivi hadi awe na gubu kiasi hiki dhidi ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania wote DR Samia Suluhu Hassan?
ujaji autoe wapi yule Mzee, hiyo ilikua ni a.k.a yake tu mtaani,

ni mjanja mnjanja tu,
ndio maana eti katika uzee ule, nae anajifanya ni Gen z, dah 🐒

kuzeeka kwingine ni vioja sana.

baada ya kushindwa vibaya uchaguzi mkuu kule bunda miaka ile, huyu Mzee alipata mawenge sana na akapoteza ramani kabisa, ndipo sasa hayati Baba wa Taifa J.K.Nyerere akamuokota jalalani baada ya kudhalilika sana mtaani na akamrudisha relini kwabkumteua serikalini...

sasa sijui mawenge ameyatolea wapi saivi hadi awe na gubu kiasi hiki dhidi ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania wote DR Samia Suluhu Hassan?🐒
Why mnakimbilia kushambulia watu badala ya kujibu hoja za watu?

Mnafanya kila mtanzania aonekane ni mjinga.
 
Unaifahamu kampuni ya warioba iliyoitwa Mwananchi Gold na jinsi ilivyotapeli dhahabu Benki Kuu
Ili hoja yako ionekana ina mashiko, ongezea na hizi hapa:
1. Jaji Warioba alisababusha WW2
2. Jaji Warioba alisababisha Tanzania kuingia vitani na Uganda
4. Jaji Warioba alisababisha meli ya Mv Bukoba kuzama siku ya Jumatano, 21/05/1996
5. Jaji Warioba aliiuza bandari ya Tanganyika
6. Jaji Warioba aliikwamisha Tanzania kupata katiba mpya
7. Jaji Warioba alisababisha Tundu Lissu kupigwa risasi
 
Back
Top Bottom