Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Why mnakimbilia kushambulia watu badala ya kujibu hoja za watu?

Mnafanya kila mtanzania aonekane ni mjinga.
Gentleman,
hakuna sababu wala haja ya kukimbia au kumshambulia mtu yeyote ndani ya nchi yetu ya amani na umoja Tanzania.

kuelezana ukweli ni jambo muhimu sana la kizalendo dhidi ya unafiki wa mtu aliekua hadi na hadhi ya uwaziri mkuu, eti leo ana bwekabweka huko uchochoroni dhidi ya serikali sikivu ya CCM ambayo yeye pia alikua na nafasi nzuri mno ya kurekebisha unafiki anao mbwelambwela nao sasaivi ,

mawenge ya uzeeni ni mabaya sana 🐒
 
Huo ndio ukweli, sijaona hoja ya kujibu
Mjipange mjibu hoja za Warioba alozitoa msihamishe magoli mwaonekana ni wajinga.
 
Basi tukubaliane na wewe kuwa:
1. Hajawahi kuwa Jaji
2. Hajawahi kuwa Waziri
3. Hajawahi kuwa Waziri Mkuu
4. Hajasoma Sheria

Tuchukulie yote hayo ni kweli! Je! Hoja zake zipuuziwe kwa kuwa hana sifa zilizotajwa hapo juu?
 
Basi tukubaliane na wewe kuwa:
1. Hajawahi kuwa Jaji
2. Hajawahi kuwa Waziri
3. Hajawahi kuwa Waziri Mkuu
4. Hajasoma Sheria

Tuchukulie yote hayo ni kweli! Je! Hoja zake zipuuziwe kwa kuwa hana sifa zilizotajwa hapo juu?
Hana hoja, ana ugonjwa wa uzee na upweke
 
Hana hoja, ana ugonjwa wa uzee na upweke
Kati yako wewe na Warioba nani mgonjwa?

Wote wenye akili wamemwelewa Warioba, na hata wewe umeelewa ingawa unajitahidi kutafuta kupotosha umma, jambo ambalo hutafanikiwa asilani.
 
Aliteuliwa na Nyerere? Mwinyi? Mkapa? Kikwete? JPM? Samia?

Elimu kwani unataka kuniajiri?

Kweli mwaka wa kuforce huu! Unaonekana unamjua sana uvccm, so tushakubali sio jaji, haya jibuni sasa hoja zake bila vyeo vyovyote (ufarijike)
 
Unacho kiongea kuhusu yeye ndicho ambacho wewe unakifanya hapa.

Acheni kumshambulia, kikubwa njoo na hoja kujibu hoja zake....

Kama ni muongo itafahamika, swali ni je aliyo yaongea yapo au hayapo? Na kama yapo ni kipi kinatakiwa kufanyika?

Incase hayapo, basi tunaweza kusema Mzee kakosea...


Nchi haiwezi kujengwa na uwepo wa watu ambao muda wote mnawaza kusifia Sifia tu....

Hata raisi anahitaji kupata watu ambao watakuwa na hoja kwa sababu ndizo zinaenda kujenga taifa hili.


Sijui tumekuwa na taifa gani kiasi kwamba watu ambao wanaonekana smart wanaonekana kuwa hatari badala ya kuwa sehemu ya mhimu ya taifa hili.


Mzee kama angesifia niamini mimi ungekuwa mtu wa kwanza kumpamba hapa...

Sometimes achaneni na mambo ya huyo nani au huyu chama gani.... Tuungane kulijenga taifa letu...

Acheni kumdhalilisha Mzee ni utoto mnafanya, kikubwa jengeni hoja.... Kama yeye ndiye amekosea hoja zitathibitisha hilo.
 
Ebu tueleze, kwann anaitwa jaji ,ujaji kaupataje? Kwamba kajipachika tu kweli!?kwann ukusema miaka yote

Una elimu gani?

Au niulize hivi:

Ulisoma chuo gani?
Hawa watu JF ingekuwa inawapiga ban completely kwa kuwa wanakuja humu kutuonyesha umbumbu wao. Jaji Sinde Warioba , mwaka 1996 mpaka 1999 aliteuliwa na mahakama ya bahari ya Hamburg kuwa jaji kule German. Huyu ni jaji wa kimataifa sio wa connection na uchawa. JF anzeni kuangalia elimu na uelewa wa watu kabla ya kuruhusu watu kutuma thread humu.
Una elimu gani?

Au niulize hivi:

Ulisoma chuo gani?
 
Ukifikiria sana, hi nchi unaweza kudhani labda kuna vijana wana laana. Hivi huaga ni kwanini badala ya kujadiri HOJA watu mnataka tumjadiri mtu? Alicho kisema Warioba, ndio hicho hicho walicho kisema kina padre Kitima, Kitima nae badala ya watu kuijadiri HOJA yake vijana wakaanza kumjadiri Kitima; stupid. Watu wenye akili dhaifu hujadiri watu, watu makini hujadiri matukio na wenye akili hujadiri issues. Now we have issues in our country, tunayo matukio as well; badala ya kujikita huko nyie mnataka tujadiri ujaji wa Warioba? Nani kasema ili uitwe jaji lazima uteuliwe na rais wako pekee yake? Imagine vitu vidogo kama hivi mtu hajui yaani, daa
 
Vipi ingetokea mmekula za uso toka kwa wastaafu kama watatu hivi, hapa warioba, pale pinda na kule msuya, mngeanza na nani kumpopoa mawe? Au mgewakabili wote watatu kwa wakati mmoja? Tulieni kuweni na heshima kwa wastaafu wanapowaambia ukweli povu lisiwatoke
 
Gentleman,
mzee ana hoja gani sasa hata watu wapoteze muda kumjibu zaid ya mawenge na makasiriko yake dhidi ya serikali sikivu ya CCM?🤣
 
Nadhani hili ndio tatizo kuu la Jamii nyingi Ulimwengu..., Badala ya kujadili hoja tunajadili watu / individuals...

 
Gentleman,
mzee ana hoja gani sasa hata watu wapoteze muda kumjibu zaid ya mawenge na makasiriko yake dhidi ya serikali sikivu ya CCM?🤣
Hoja ya police kutumia kisiasa, hili hulijui au ni mgeni hapa Tanganyika
Police kupendelea CCM hilo hulijui?
Jibu hoja
Uchaguzi kunajisia, dhuluma katika uchaguzi haya huyajui?
Watu kuuliwa na vyombo vya usalama hili nalo hulijui
Kama unakataa
Apia Kwa Mungu sema akuuwe siku ya leo
 
Unachokerekwa ww ni kitu gani bro.weka wazi ili tuone makosa ya warioba.
 
Mzee Joseph Warioba aliteuliwa na Katibu Mkuu wa UN Msfaatu Butrous Butrous Ghali kuwa Jaji wa Sheria za Bahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…