Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Gentleman,Why mnakimbilia kushambulia watu badala ya kujibu hoja za watu?
Mnafanya kila mtanzania aonekane ni mjinga.
hakuna sababu wala haja ya kukimbia au kumshambulia mtu yeyote ndani ya nchi yetu ya amani na umoja Tanzania.
kuelezana ukweli ni jambo muhimu sana la kizalendo dhidi ya unafiki wa mtu aliekua hadi na hadhi ya uwaziri mkuu, eti leo ana bwekabweka huko uchochoroni dhidi ya serikali sikivu ya CCM ambayo yeye pia alikua na nafasi nzuri mno ya kurekebisha unafiki anao mbwelambwela nao sasaivi ,
mawenge ya uzeeni ni mabaya sana 🐒