Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Kwahiyo wewe unaweza kujipachika cheo cha ujaji na jamii pamoja na serikali ikakuelewa?Huyo sio Jaji, anajipachika pachika tu titles ili aonekane wa maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wewe unaweza kujipachika cheo cha ujaji na jamii pamoja na serikali ikakuelewa?Huyo sio Jaji, anajipachika pachika tu titles ili aonekane wa maana
Another logical non sequitur fallacy.This is verbal diarrhoea
Basi jaji ni babakoHuyo sio Jaji
Mzee ajibiwe kwa hoja , hatutaki mambo ya kuokoteza , ulikua wapi kuyasema hayaUnaifahamu kampuni ya warioba iliyoitwa Mwananchi Gold na jinsi ilivyotapeli dhahabu Benki Kuu
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Ana macho kama ya senene, madogo, labda kwa sababu ya sigara na gongoIfahamike tu kuwa Juji Warioba ni Mtanganyika Mwenzetu . Hana uraia pacha kama Wazanzibari.
Mtanganyika wetu hata kama Awe ni Jaji au juju au jagler au jagi au chaji sisi hayaruhusu na haiondoi ukweli wa kauli yake .
Shetani haitamshinda Mungu milele.
Kuna majaji wa mwendokasi humu dunia hawastahili hata kuwa Matarishi wa mahakama.
CCM mlishasema kuwa ushindi kwenu ni lazima Mungu apende asipende .
Tana mkakazia kuwe kifo ni kifo tu.
Na tena mkamaliza kabisa kwa kutoa maelekezo kuwa wameota mikia .
Binadamu mwenye mkia hawezi kukubaliwa atakatwa
Kwa hiyo unataka kusemaje??Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Baba, uchawa ni uchafu, muda wowote lazima ajitahidi kuchafua hali ya hewa.Ila chawa ni wasenge badala uajdili hoja anajadili mtu ambaye huwezi pambana naye kwa hoja
Au umetumwa make chawa hili taifa mnadhani ni letu mwingine akiwa kinyume chenu hafai
Nakuuliza wewe kama hawawahi kuteuliwa kuwa Jaji kwa hiyo???Kama hujaelewa nilichoandika basi kichwani umejaa mapumba
Jibu swali - kama hajawahi kuteuliwa kuwa Jaji - ndiyo iweje??Kwanza andika vizuri, "hawawahi" ndio nini?
Inawezekana alikuwa bado kwenye korodani za mtuAmeanza kuitwa jaji wakati wewe bado unalamba makamasi chekechea.
Jibuni hoja za Warioba acheni vihoja.
Wanapoteza muda tu.Hivi kweli ccm mnafikiri kwa mnayoandika mnashusha credibility yeyote ya Judge na wa Tanzania kumdharau?