Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Mashudu wewe kichwabox mmekaririshwa ujaji mpaka uwe mahakama kuu tu au sio? Yeye alikua jaji wa kimataifa sio wa kitaifa tu huelewi? Kumbuka kabla ya hapo alishashika nafasi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali sasa anashindwa vipi kua jaji?
chenge aliwahi kuwa mwanasheria mkuu hajawahi kuwa judge.
 
Following his tenure as prime minister, he served as a judge on the Hamburg, Germany-based International Tribunal for the Law of the Sea from 1996 to 1999.
hii haiondoi ukweli yego jaji hajawahi kuhudumu mahakama kuu ya tanzania na hajawahi teuliwa na rais
 
Mzee Warioba amekemea uhuni wa jeshi la polisi kutumika kisiasa na CCM hadi likaitwa PoliCCM.

Mimi naungana na mzee Warioba maana amesimamia ile ahadi ya mwanaccm "Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko"

Nyie kunguni wa mama endeleeni kupokea maelekezo ya kumjibu ila ukweli umewafikia.

Mzee amejitokeza mbele kukemea uovu najua mtamtumia wahuni tena wamdhuru kama yule muhuni aliyepaswa kuwepo gerezani ila mmempa ukuu wa mkoa.

Warioba ni msomi , usifikiri ni sawa na huyo mama yenu mwenye udaktari wa kupewa kila kukicha huku ikiwa inajulikana rekodi yake kitaaluma ni mbovu.
View attachment 3170367
Jaji Joseph Sinde Warioba ni mmoja wa viongozi mashuhuri katika historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ana sifa kubwa kama mwanasheria, mwanasiasa, na mtumishi wa umma. Hapa ni muhtasari wa mchango wake muhimu:

1. Waziri Mkuu wa Tanzania
Warioba alihudumu kama Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia mwaka 1985 hadi 1990, akiwa Waziri wa Sheria na Katiba katika kipindi hicho pia. Uongozi wake ulijikita katika kusimamia sheria na utawala bora.

2. Jaji wa Mahakama ya Rufaa
Kabla ya kuwa Waziri Mkuu, Warioba alihudumu kama Jaji wa Mahakama ya Rufaa, ambapo alitoa mchango mkubwa katika mfumo wa sheria wa Tanzania.

3. Mwenyekiti wa Tume ya Katiba ya Tanzania
Mnamo 2012, aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, iliyokuwa na jukumu la kuandaa rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aliongoza juhudi za kushirikisha wananchi katika mchakato wa katiba, ingawa katiba mpya haijakamilika rasmi.

4. Mchango wa Kimataifa
Warioba pia amewakilisha Tanzania katika masuala ya kikanda na kimataifa, ikiwa ni pamoja na kushiriki kwenye masuala ya usuluhishi na migogoro katika nchi mbalimbali za Afrika.

5. Mtetezi wa Utawala Bora
Ameendelea kuwa sauti ya utawala bora, uwazi, na uwajibikaji nchini Tanzania, akitoa ushauri na maoni kuhusu masuala ya maendeleo ya kitaifa.

Kundi hili la vijana wa CCM ambao hata history ya Ccm na historia ya Tanzania hawanijui waneandaliwa kushambulia watu wote watakoonesha kwamba IPO haja ya kusimamia tunu za taifa na kuimarisha Umoja, ushirikiano na utangamo wa taifa bila kujali itikadi za kisiasa dini au rangi hata kabila
 
hii haiondoi ukweli yego jaji hajawahi kuhudumu mahakama kuu ya tanzania na hajawahi teuliwa na rais
Kwahiyo anayeteua Mtu kuwa Judge ni Mama Yako Mzazi,
Joseph Sinde WARIOBA alikua JAJI wa mahakama ya Rufani na Rais wa Jmt ndiye mwenye mamlaka ya kumteua mtu kuwa JAJI!
Awe wa mahakama kuu au mahakama ya Rufani!
Katiba yenyewe hamuijui ninyi si mtaishia kuuwa watu tu wanaowataka mfuate katiba?
Uteuzi wa Majaji wa Mahakama Kuu

Ibara ya 109 (1) ya Katiba inasema:

"Kutakuwa na Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo itakuwa na majaji watakaoteuliwa na Rais."

Ibara ya 109 (7) inabainisha kuwa Rais hufanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama Kuu baada ya kushauriana na Tume ya Utumishi wa Mahakama.

2. Uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani

Ibara ya 118 (2) ya Katiba inasema:

"Majaji wa Mahakama ya Rufani, isipokuwa Jaji Mkuu, watateuliwa na Rais baada ya kushauriana na Tume ya Utumishi wa Mahakama."

Maelezo ya Jumla:

Jaji Mkuu wa Tanzania (Chief Justice) huteuliwa moja kwa moja na Rais bila masharti ya kushauriana.

Majaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani wanapaswa kuwa na sifa za kisheria zilizobainishwa kwenye Katiba na s
heria nyingine husika.
 
Ad hominem logical fallacy.
Nimekua nikiileza sana hapa jukwani ni Tabia mbaya sana ambayo wamekua nayo vijana wa Ccm. Badala ya kujadili jambo lilloko mezani hukimbilia kumjadili mtu Ili kuondoa uhalali wa hoja yake! Hawa watu ni hatari wakimaliza kuwashanbulia wanaowakosoa hurudiana wenyewe Kwa wenyewe. They are like Wala mizoga! Ni hatari kwa amani ya nchi
 
Ujaji wa kuunga unga?
1. Sifa za Jaji wa Mahakama Kuu

Zimeainishwa katika Ibara ya 109(8) ya Katiba:

Awe mwanasheria mwenye sifa za kuwa wakili aliyesajiliwa Tanzania.

Awe amekuwa na uzoefu wa kazi ya kisheria kwa kipindi kisichopungua miaka 5 katika ofisi yoyote inayohusiana na sheria (mfano: uwakili, uwakilishi wa mashtaka, au kazi nyingine za kisheria).

2. Sifa za Jaji wa Mahakama ya Rufani

Zimeainishwa katika Ibara ya 118(3) ya Katiba:

Awe mwanasheria mwenye sifa za kuwa wakili aliyesajiliwa Tanzania.

Awe amekuwa na uzoefu wa kazi ya kisheria kwa kipindi kisichopungua miaka 5 kama ilivyo kwa majaji wa Mahakama Kuu, lakini kwa kawaida anapaswa kuwa na kiwango cha juu cha umahiri wa kisheria.

3. Sifa za Jaji Mkuu wa Tanzania

Zimeainishwa katika Ibara ya 118(1) ya Katiba:

Mtu anayeteuliwa kuwa Jaji Mkuu anapaswa kuwa na uzoefu na umahiri wa hali ya juu katika nyanja za sheria. Hakuna ukomo maalum wa uzoefu wa miaka, lakini uteuzi huu huchukulia mtu aliyebobea zaidi katika taaluma ya sheria.

Maelezo ya Ziada:

Katiba inahitaji mtu anayeteuliwa kuwa Jaji awe mwenye uadilifu, uwezo wa kisheria, na asiye na rekodi mbaya ya tabia au mwenendo wa kitaaluma.

Pia uteuzi wa majaji huzingatia maoni ya Tume ya Utumishi wa Mahakama, inayoshirikiana na Rais katika ku
thibitisha sifa za wateuliwa.

You are a wasted sperm
 
Kwani akaunti yako unaitumia na nani,wana wanasema pia umekuwa mhangaama sii kweli?Majibu tafadhali au wana wamegeuka snitch hivi sasa?
huna haja ya kubabaika kwa porojo na story za pata potea,

Ile ya maana zaid,
ni kufanya siasa za hoja na kistaarabu.

siasa za chuki binafsi dhidi ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan, na wewe ni mbabu mtu mzima,
. Inaonekana kama ushirikiana tu 🐒
 
ujaji autoe wapi yule Mzee, hiyo ilikua ni a.k.a yake tu mtaani,

ni mjanja mnjanja tu,
ndio maana eti katika uzee ule, nae anajifanya ni Gen z, dah 🐒

kuzeeka kwingine ni vioja sana.

baada ya kushindwa vibaya uchaguzi mkuu kule bunda miaka ile, huyu Mzee alipata mawenge sana na akapoteza ramani kabisa, ndipo sasa hayati Baba wa Taifa J.K.Nyerere akamuokota jalalani baada ya kudhalilika sana mtaani na akamrudisha relini kwabkumteua serikalini...

sasa sijui mawenge ameyatolea wapi saivi hadi awe na gubu kiasi hiki dhidi ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania wote DR Samia Suluhu Hassan?🐒
Na hata 1995 alipigwa kata funua na Wasira kwenye kura za maoni za CCM kwenye kuwania ubunge wa BUNDA.
CCM wakalazimisha kumteua yeye, Wasira akahamia NCCR Mageuzi akaenda kumpiga kata funua kwa mara ya pili.
Ikawa ndio mwisho wake kujaribu kuwania ubunge.
Na hili ni pigo la pili, la kwanza ni lile lililotokana na uchaguzi Mkuu wa 1990, Mahakama Kuu ilitengua ubunge wake baada ya kuupata kwa njia zisizohalali kwa kutumia madaraka yake vibaya ya UWAZIRI MKUU NA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS.
 
Kwahiyo anayeteua Mtu kuwa Judge ni Mama Yako Mzazi,
Joseph Sinde WARIOBA alikua JAJI wa mahakama ya Rufani na Rais wa Jmt ndiye mwenye mamlaka ya kumteua mtu kuwa JAJI!
Awe wa mahakama kuu au mahakama ya Rufani!
Katiba yenyewe hamuijui ninyi si mtaishia kuuwa watu tu wanaowataka mfuate katiba?
Uteuzi wa Majaji wa Mahakama Kuu

Ibara ya 109 (1) ya Katiba inasema:

Ibara ya 109 (7) inabainisha kuwa Rais hufanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama Kuu baada ya kushauriana na Tume ya Utumishi wa Mahakama.

2. Uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani

Ibara ya 118 (2) ya Katiba inasema:

Maelezo ya Jumla:

Jaji Mkuu wa Tanzania (Chief Justice) huteuliwa moja kwa moja na Rais bila masharti ya kushauriana.

Majaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani wanapaswa kuwa na sifa za kisheria zilizobainishwa kwenye Katiba na s
heria nyingine husika.
sasa ndiyo unitukane? ila haindoi ukweli kuwa hajawahi hudumu mahakama kuu, ni kama mimi haindoi ukweli sijawahi jiunga chadema
 
Nimekua nikiileza sana hapa jukwani ni Tabia mbaya sana ambayo wamekua nayo vijana wa Ccm. Badala ya kujadili jambo lilloko mezani hukimbilia kumjadili mtu Ili kuondoa uhalali wa hoja yake! Hawa watu ni hatari wakimaliza kuwashanbulia wanaowakosoa hurudiana wenyewe Kwa wenyewe. They are like Wala mizoga! Ni hatari kwa amani ya nchi
Wanampaisha tu Mzee Warioba, yani kama watu walianza kusahau ndiyo wanakumbushwa maneno aliyosema na kujua kuwa kumbe yale maneno yamewagusa chawa wa CCM na mabosi wao.
 
sasa ndiyo unitukane? ila haindoi ukweli kuwa hajawahi hudumu mahakama kuu, ni kama mimi haindoi ukweli sijawahi jiunga chadema
Ukiwa mjinga unastahili elimu na ukiwa mpumbavu utatukanwa sababu ya upumbavu wako.
Hayo Yote unavyosema hayaondoi uhalali wa Yale aliyosema Kwa sababu hayana muktadha wa kimahakama kwamba alikua anaendesha shauri au anatoa hukumu Kwa jambo ambalo hana uwezo nalo.
Amezungunza jambo la kisiasa zaidi Kwa uongozi wa jumla wa watu kwakua amekua sehemu yake kama Waziri mkuu na kama mbunge!
Kama nimekueleza vyema kwamba JAJI WARIOBA amehudumu kama JAJI wa mahakama ya Rufani ni vyema ukajua kwamba katika ngazi za mahakama kwa mujibu wa katiba yetu Mahakama ya Rufani IPO juu ya mahakama kuu!
Ila kwakua wewe ni bumunda na Ndio Ccm wanawapenda umeng'ang'ania kwamba hakuwahi kuwa Jaji wa mahakama kuu!
Mjinga wewe
Maelezo haya yameainishwa katika Sura ya Nane ya Katiba.

1. Mahakama ya Rufani ya Tanzania

Ibara ya 117: Inatamka kwamba kutakuwa na Mahakama ya Rufani ambayo ni mahakama ya juu kabisa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Inahusisha Jaji Mkuu (Chief Justice) na Majaji wa Rufani wengine walioteuliwa.

Majukumu: Kusikiliza rufaa kutoka Mahakama Kuu na kutoa maamuzi ya mwisho.

2. Mahakama Kuu ya Tanzania

Ibara ya 108: Inatamka kwamba kutakuwa na Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yenye mamlaka ya kusikiliza kesi za aina zote (mamlaka ya asili).

Mahakama Kuu ina majaji walioteuliwa na Rais, na majukumu yake yanahusu kusikiliza kesi za jinai, madai, na kikatiba.

Inaweza kusikiliza rufaa kutoka ngazi za chini ya mahakama na kutoa tafsiri ya Katiba.

3. Mahakama za Wilaya, Mitaa, na Hakimu Mkazi

Ibara ya 109(1) inaruhusu Bunge kutunga sheria za kuanzisha mahakama za ngazi za chini kama vile:

Mahakama za Hakimu Mkazi: Zina mamlaka ya kati katika kusikiliza kesi za jinai na madai, ikiwa ni pamoja na rufaa kutoka Mahakama za Mwanzo.

Mahakama za Wilaya: Zina mamlaka ndogo zaidi na hufanya kazi katika wilaya.

Mahakama za Mwanzo: Zina mamlaka ya kusikiliza kesi za msingi wa jamii, kama vile migogoro ya ardhi na masuala ya ndoa kwa mujibu wa sheria za kitamaduni na mila
 
sijakukatalia na maelezo yako yako sawa, tatizo ni kunitukana tu
 
Jibu hilo hapo:

Mnamo 1985, alikua Waziri Mkuu na, wakati huo huo, Makamu wa Pili wa Rais hadi 1990. Baada ya muda wake kama waziri mkuu, aliteuliwa kuwa jaji katika Mahakama ya Kimataifa ya Sheria ya Bahari yenye makao yake makuu mjini Hamburg. (ITLOS).

Uliza swali lingine
Huyu chawa kwake yeye ili uwe jaji ni lazima rais wa Tanganyika akuteue. Vinginevyo hiwezi kuwa jaji.

Sijui kama anaelewa maana ya judge? chiembe upo?
 
Huyo sio Jaji, ujaji mpaka ajielezee saaaana kama unatafuta chawa kwenye manyoya ya kondoo
Haya tukubaliane na wewe na wenzako usimuite Jaji. Wengine wataendelea. Rejea East African court of justice.
 
Back
Top Bottom